Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.

Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.

---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM

Tito.jpg

Tito Paul(Kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo Dar es Salaam, Dkt. Kikwete​
 
Na si ajabu hana ajira na labda anatoka katika familia ya kimaskini hana mtaji wa kujiajiri hivyo elimu yake ITAPOTEA BURE.
Kwa sasa anaweza pata connection kwa wenye makampuni yao wakiona hii habari
 
Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.

Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.

---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM

View attachment 1981949
Tito Paul(Kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo Dar es Salaam, Dkt. Kikwete​
Kumbe wewe ni dume?
 
Ila kwa nini hizi taarifa hazikutoka katika vyombo vya habari kama zioivyofanyika kwa wale KE? Naona sasa tunaanza kubaguana sisi kwa sisi, kwamba wao ME na sisi ni KE.
 
Back
Top Bottom