BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Acha KUKURUPUKA na kuonyesha upumbavu wako hadharani. Katika nchi yenye upungufu mkubwa wa madaktari, manesi, wahandisi, wahasibu inakuwaje Serikali iseme uongo kwamba haina pesa za kuwaajiri wahitimu hawa huku miaka mitano iliyopita ilinunua ndege kwa trillions 5 na kulipa cash huku ndege hizo zikiingiza hasara ya 73 billions kila mwaka? Watanzania kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
www.jamiiforums.com
Rais Samia: Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa watumishi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali zote zinakabiliwa na uhaba wa Watumishi, akifafanua "Hii ni kutokana na kiwango cha ukuaji wa Uchumi" Amesema hayo leo akiwa Moshi Mkoani Kilimanjaro katika Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Hospitali ya KCMC Ameongeza, "Tunapopiga mahesabu ya...
Acha ramli za kijinga