Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Aje kufanya nn!? Au hujaskia coss wana kazi nae!? [emoji23]Ngoja aje street
Kwa sasa anaweza pata connection kwa wenye makampuni yao wakiona hii habariNa si ajabu hana ajira na labda anatoka katika familia ya kimaskini hana mtaji wa kujiajiri hivyo elimu yake ITAPOTEA BURE.
Kwa zawadi anazopewa na fursa,tayari katoboa.Na si ajabu hana ajira na labda anatoka katika familia ya kimaskini hana mtaji wa kujiajiri hivyo elimu yake ITAPOTEA BURE.
Kwa zawadi anazopewa na fursa,tayari katoboa.
Ngoja kidogoWeka details Mkuu ili tuzijue zawadi na fursa hizo.
Uyo apo lazima abaki apo apo kufundisha,sio mwenzako,ajira tayari apoNa si ajabu hana ajira na labda anatoka katika familia ya kimaskini hana mtaji wa kujiajiri hivyo elimu yake ITAPOTEA BURE.
Kumbe wewe ni dume?Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,.
Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu.
---
Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM
View attachment 1981949
Tito Paul(Kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo Dar es Salaam, Dkt. Kikwete
mara nyingi wanakua TANa si ajabu hana ajira na labda anatoka katika familia ya kimaskini hana mtaji wa kujiajiri hivyo elimu yake ITAPOTEA BURE.
mara nyingi wanakua TA