Nahisi nye..g.e ni sumu kali sana kwenu🤣Tena mnapewa yote...wacha tuu..ila sisi sawa umri unaruhusu sio hao mastudenti
Ndo maana kuwa na bikra katika level za chini za elimu kabla akili haijapevuka vzr ni muhimu...maana ukishagusanisha tuu akili zinaruka..pole yao kwakweli
📌hawapatagi
Regino kamishinaWaliahidi wazazi, shule au Polisi?
Si wanasemaga usimnyang'anye atalia,mwachie achezee.
Sasa akikua utalia mzazi
Yaani mzazi unamuogopa mtoto,
Nadhani umenielewa,
Wanaume tunabebaga magumegume sana...imejini kidato cha 3 mtu anasuguliwa tu.Type hizo hawapatagi mimba,huyo anajua vidonge vyote vya kuzuia mimba na hata kutoa kuliko hata mashangazi,kifupi hamna mtoto hapo,huyo ni mke wa mtu anayelazimishwa kusoma,wakati yeye anataka akaihudumie ndoa yake🤣🤣afu Kuna fala atakuja uziwa mbuzi kwenye gunia miaka michache ijayo aoe tena madhabahuni🤣🤣🤣
[emoji1545][emoji1545]Sawa, nilihisi unasema hili tukio la esta kwamba ni malezi kumbe ni assumption. Ila wazazi pia huenda wakawa wamechangia
Lakini swezi shutumu wazazi sababu sifahamu, mabinti wa kesi za esta wapo wengi kwenye jamii
Wazazi wanaweza kufanya kwa nafasi yao mtoto akaamua kukengeuka.
Japo kwenye mitandao kila mtu atasema lake
Yaelekea unawachukia sana walimu wewe.Huyu mwalimu alitaka kuua ishu mzima akamtorosha mtoto akampeleka kwa huyo baba Jose akitetea kibarua chake...
Mi nashauri wamnase mwalimu kwa mahojiano pamoja na baba Jose wawabinyeeee...watasema ukweli
Ila habari za muhimu kama DP World PM alikuwa bubu🤣🤣🤣Hili taifa wakati mwingine la kipumbavu sana..
Tunapotezeana muda kwa upumbavu kabisa. Mtu kajiona kakua wala wazazi hana time nao kaenda kwa wanaume..taifa zima likuwe alerted .
Hapana mkuu...Yaelekea unawachukia sana walimu wewe.
[emoji2][emoji2]kumbeeendio maana nimeiruka a-level.... upwiru mwingi afu hamna namna ya kutuliza
Yaani huyu miso, flagyl, postonal 2,majivu, koma, kijiti cha mhogo vyote ukute ashawahi tumia...🙌Wanaume tunabebaga magumegume sana...imejini kidato cha 3 mtu anasuguliwa tu.
SI bora kubeba singo maza tu ukijua ametumika?
No.Huyu mwalimu alitaka kuua ishu mzima akamtorosha mtoto akampeleka kwa huyo baba Jose akitetea kibarua chake...
Mi nashauri wamnase mwalimu kwa mahojiano pamoja na baba Jose wawabinyeeee...watasema ukweli
[emoji419][emoji419]Halafu unajiuliza kwanini wanaitwa maharage mara moja [emoji3] mbeya asilimia 80% ya watoto wa kike wanazaaga wakiwa shuleni
Imejini na uzee huu hayo yote nayasikia kwako aaah mbinguni ntaenda😂Yaani huyu miso, flagyl, postonal 2,majivu, koma, kijiti cha mhogo vyote ukute ashawahi tumia...🙌
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hufikii maana unayajua unazugaImejini na uzee huu hayo yote nayasikia kwako aaah mbinguni ntaenda[emoji23]
🤭Imejini na uzee huu hayo yote nayasikia kwako aaah mbinguni ntaenda😂