Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Tena mnapewa yote...wacha tuu..ila sisi sawa umri unaruhusu sio hao mastudenti
Ndo maana kuwa na bikra katika level za chini za elimu kabla akili haijapevuka vzr ni muhimu...maana ukishagusanisha tuu akili zinaruka..pole yao kwakweli
Nahisi nye..g.e ni sumu kali sana kwenu🤣
 
Si wanasemaga usimnyang'anye atalia,mwachie achezee.

Sasa akikua utalia mzazi

Yaani mzazi unamuogopa mtoto,

Nadhani umenielewa,

Sawa, nilihisi unasema hili tukio la esta kwamba ni malezi kumbe ni assumption. Ila wazazi pia huenda wakawa wamechangia
Lakini swezi shutumu wazazi sababu sifahamu, mabinti wa kesi za esta wapo wengi kwenye jamii
Wazazi wanaweza kufanya kwa nafasi yao mtoto akaamua kukengeuka.
Japo kwenye mitandao kila mtu atasema lake
 
Type hizo hawapatagi mimba,huyo anajua vidonge vyote vya kuzuia mimba na hata kutoa kuliko hata mashangazi,kifupi hamna mtoto hapo,huyo ni mke wa mtu anayelazimishwa kusoma,wakati yeye anataka akaihudumie ndoa yake🤣🤣afu Kuna fala atakuja uziwa mbuzi kwenye gunia miaka michache ijayo aoe tena madhabahuni🤣🤣🤣
Wanaume tunabebaga magumegume sana...imejini kidato cha 3 mtu anasuguliwa tu.
SI bora kubeba singo maza tu ukijua ametumika?
 
Sawa, nilihisi unasema hili tukio la esta kwamba ni malezi kumbe ni assumption. Ila wazazi pia huenda wakawa wamechangia
Lakini swezi shutumu wazazi sababu sifahamu, mabinti wa kesi za esta wapo wengi kwenye jamii
Wazazi wanaweza kufanya kwa nafasi yao mtoto akaamua kukengeuka.
Japo kwenye mitandao kila mtu atasema lake
[emoji1545][emoji1545]
 
Huyu mwalimu alitaka kuua ishu mzima akamtorosha mtoto akampeleka kwa huyo baba Jose akitetea kibarua chake...

Mi nashauri wamnase mwalimu kwa mahojiano pamoja na baba Jose wawabinyeeee...watasema ukweli
No.
Huyu mtoto inaelekea anataka kumbebesha lawama kuwa ukali wake na kuchapa watoto ilimfanya atoroke.

Kinachoendelea na alichosema mkuu wa mkoa kuwa Jimmy mwalimu wa nidhamu apunguze kuchapa watoto
 
Back
Top Bottom