kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Wakinipata mie jinga
Kama yule wa Bokoharamu hakupatikana ,itakuwaje Mimi
Kama yule wa Bokoharamu hakupatikana ,itakuwaje Mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajengewe sanamu pale mafiati🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Mwalimu Jimmy aombwe msamaha
wangeenda wote wawili tu kwanza..halafu baada ya wiki mbili ndo esta arudi kuendelea na shule atakua amenyooka😶😶Baba Jose fundii sanaaa.. ila ataenda kula jeuri yake nyuma ya nondoo 😅😅
Ester hapo ki harage kina pwita pwita tuu kina muwaza Baba Jose ... wakata mkaaa wana nyotaaa zao . hapo vijana sharobalo makamu yake kawapiga chini 😅😅😅😅... Ester kawapa chaka jipyaaa msiseme hajawatonya kwa vitendowangeenda wote wawili tu kwanza..halafu baada ya wiki mbili ndo esta arudi kuendelea na shule atakua amenyooka😶😶
Eti chaka jipya😂😂😂😂, wewe jamaa hapana kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣🙌Ester hapo ki harage kina pwita pwita tuu kina muwaza Baba Jose ... wakata mkaaa wana nyotaaa zao . hapo vijana sharobalo makamu yake kawapiga chini 😅😅😅😅... Ester kawapa chaka jipyaaa msiseme hajawatonya kwa vitendo
Sio mara ya kukurupuka, Kuna inshu Ile ya mwanajeshi aliyebeba tv ya jamaa, sijui washauri wake maana mambo mengine ni size ya m/Kiti wa mtaa tu.Huyu inaonekana alishakuwa
Huyu inaonekana alishakuwa mhuni muda mrefu, angalia alivyonyoa nywele, kiduku, hiyo shule inaruhusuje huo mnyoo au mambo ya kubembeleza ada? Ila sazingine waziri mkuu uwe na subra, mambo haya yalikuwa siyo size yako, unaona sasa unaishia kuaibika.
Wauza mkaaa watu wa kazi kazi.. pumzi kama zote wana mi six pak natural ukicheki mikono yao ina ma misulii ya kwendaaa aiseee watu wa kaziii .. mikono yao shupavu.. akikushika unasema kweli nimeshikwa na mwanaume.. sio mwanaume mikono sofult kama ya kichangaaa.. Ester kawapa mbinu fursaaaa hiyoo wauza mikaa wachache wamebakiEti chaka jipya😂😂😂😂, wewe jamaa hapana kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Baba Jose alikuwa anajilia mbususu ya Esther kiulaini😂😂😂.#UPDATES Mwanafunzi Ester Noah Mwanyilu, amepatikana katika chumba cha kupanga cha Mama Abdul kilichopo maeneo ya Ifisi Mbalizi, na kwamba alipelekwa hapo na muuza mkaa aitwaye Baba Jose na kusema ni mke wake hivyo anaomba hifadhi baada ya siku mbili angemchukua ili wakaishi wote.
Aidha vipimo vyote vya kiafya vimefanyika na Ester hana ujauzito na hivyo ataendelea kukaa na maafisa ustawi wa jamii ili kumsaidia kumpa ushauri wa kisaikolojia arudi shule, na mwanaume huyo atasakwa mpaka akamatwe.
RC Homera ametoa rai kwa walimu wa Pandahill kupunguza kasi ya kuchapa viboko.
#MwanafunziApatikana
#EastAfricaTV
ww ni muongo bwana.mm mbeba tofar mikono ngumu mbona wananikataa walembo wanasema nawaumiza mikono inakwangua hawatak niwapapaseWauza mkaaa watu wa kazi kazi.. pumzi kama zote wana mi six pak natural ukicheki mikono yao ina ma misulii ya kwendaaa aiseee watu wa kaziii .. mikono yao shupavu.. akikushika unasema kweli nimeshikwa na mwanaume.. sio mwanaume mikono sofult kama ya kichangaaa.. Ester kawapa mbinu fursaaaa hiyoo wauza mikaa wachache wamebaki
Malezi
ila naona ameanza mapema jamani khaa🤦♀️😃😃😃Wauza mkaaa watu wa kazi kazi.. pumzi kama zote wana mi six pak natural ukicheki mikono yao ina ma misulii ya kwendaaa aiseee watu wa kaziii .. mikono yao shupavu.. akikushika unasema kweli nimeshikwa na mwanaume.. sio mwanaume mikono sofult kama ya kichangaaa.. Ester kawapa mbinu fursaaaa hiyoo wauza mikaa wachache wamebaki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ww ni muongo bwana.mm mbeba tofar mikono ngumu mbona wananikataa walembo wanasema nawaumiza mikono inakwangua hawatak niwapapase
Baba Jose kamkomaza, ukienda mwingine hapo lazima akutoe jashoo 😅😅😅ila naona ameanza mapema jamani khaa🤦♀️😃😃😃
bwanaaaa weeee... usilinganishe kubeba vitofa na kuchoma mkaaaa 😅😅😅😅😅ww ni muongo bwana.mm mbeba tofar mikono ngumu mbona wananikataa walembo wanasema nawaumiza mikono inakwangua hawatak niwapapase
Baba jose huenda anaijua katerero thingy...5m tungegalagala kitambaa cheupe kwa mwezi mzimaaaa.. tunajisokota tu na corona beer na misupu ya 🐟 dadekBaba Jose.. ana kipengeleee kizito 😅😅😅
C.c Mrs Thabo Bester dah ! nimeikosa 5 mill kizembe sanaaaa ... rohoo imeniuma
achaaaa tuuu.. 5 million, mwezi una wiki nne.. ukigawa 5 million ÷ 4 = 1,250,000 kila wiki tungekuwa tunachoma 1.25 mill tu 😅😅😅😅Baba jose huenda anaijua katerero thingy...5m tungegalagala kitambaa cheupe kwa mwezi mzimaaaa.. tunajisokota tu na corona beer na misupu ya 🐟 dadek
Kuna shida mahala, nchi iko kwenye sitofaham ya mara Mr. Dubai mara. Miss DP, kwa makusudi kabisa mtu anameza pini, kwenye suala la kitaifala. Inakuja issue minor sana, ambayo iko kwenye ngazi ya Tarafa kama sio Wilaya, then mtu analipuka tu from nowhere, na libarua likubwa likiwa na logo yenye watu wawili. Hivi hawa ni watu sahihi kweli kiasi cha kuwapa mamlaka makubwa ya kiasi hiko? Serious?Sio mara ya kukurupuka, Kuna inshu Ile ya mwanajeshi aliyebeba tv ya jamaa, sijui washauri wake maana mambo mengine ni size ya m/Kiti wa mtaa tu.