Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Zinaa imebeba nafasi kubwa sana kwa vijana wa leo, vipo vishawishi vingi vinavyopelekea mawazo yao kuwa ni ya kizinaa, mavazi ni zinaa, muziki nao umekaa kizinaa, mitandao ya kijamii ni zinaa, Movies nyingi ni zinaa, waliowazidi umri nao wanaonyesha waziwazi wakifanya zinaa...

Hawana pa kuponea...

Bora enzi za kurusha jiwe juu ya bati[emoji1787] au kukutana chini ya mti...
 
wangeenda wote wawili tu kwanza..halafu baada ya wiki mbili ndo esta arudi kuendelea na shule atakua amenyooka😶😶
Ester hapo ki harage kina pwita pwita tuu kina muwaza Baba Jose ... wakata mkaaa wana nyotaaa zao . hapo vijana sharobalo makamu yake kawapiga chini 😅😅😅😅... Ester kawapa chaka jipyaaa msiseme hajawatonya kwa vitendo
 
Huyu inaonekana alishakuwa

Huyu inaonekana alishakuwa mhuni muda mrefu, angalia alivyonyoa nywele, kiduku, hiyo shule inaruhusuje huo mnyoo au mambo ya kubembeleza ada? Ila sazingine waziri mkuu uwe na subra, mambo haya yalikuwa siyo size yako, unaona sasa unaishia kuaibika.
Sio mara ya kukurupuka, Kuna inshu Ile ya mwanajeshi aliyebeba tv ya jamaa, sijui washauri wake maana mambo mengine ni size ya m/Kiti wa mtaa tu.
 
Eti chaka jipya😂😂😂😂, wewe jamaa hapana kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Wauza mkaaa watu wa kazi kazi.. pumzi kama zote wana mi six pak natural ukicheki mikono yao ina ma misulii ya kwendaaa aiseee watu wa kaziii .. mikono yao shupavu.. akikushika unasema kweli nimeshikwa na mwanaume.. sio mwanaume mikono sofult kama ya kichangaaa.. Ester kawapa mbinu fursaaaa hiyoo wauza mikaa wachache wamebaki
 
#UPDATES Mwanafunzi Ester Noah Mwanyilu, amepatikana katika chumba cha kupanga cha Mama Abdul kilichopo maeneo ya Ifisi Mbalizi, na kwamba alipelekwa hapo na muuza mkaa aitwaye Baba Jose na kusema ni mke wake hivyo anaomba hifadhi baada ya siku mbili angemchukua ili wakaishi wote.

Aidha vipimo vyote vya kiafya vimefanyika na Ester hana ujauzito na hivyo ataendelea kukaa na maafisa ustawi wa jamii ili kumsaidia kumpa ushauri wa kisaikolojia arudi shule, na mwanaume huyo atasakwa mpaka akamatwe.

RC Homera ametoa rai kwa walimu wa Pandahill kupunguza kasi ya kuchapa viboko.

#MwanafunziApatikana
#EastAfricaTV
Baba Jose alikuwa anajilia mbususu ya Esther kiulaini😂😂😂.

Esther mtu mzima tayari anajua utamu wa dudu ni swala la muda tu atatokomea kwenda kutafuta dudu. Akikosa ya Baba Jose atatafuta ya Baba John.
 
Wauza mkaaa watu wa kazi kazi.. pumzi kama zote wana mi six pak natural ukicheki mikono yao ina ma misulii ya kwendaaa aiseee watu wa kaziii .. mikono yao shupavu.. akikushika unasema kweli nimeshikwa na mwanaume.. sio mwanaume mikono sofult kama ya kichangaaa.. Ester kawapa mbinu fursaaaa hiyoo wauza mikaa wachache wamebaki
ww ni muongo bwana.mm mbeba tofar mikono ngumu mbona wananikataa walembo wanasema nawaumiza mikono inakwangua hawatak niwapapase
 
Wauza mkaaa watu wa kazi kazi.. pumzi kama zote wana mi six pak natural ukicheki mikono yao ina ma misulii ya kwendaaa aiseee watu wa kaziii .. mikono yao shupavu.. akikushika unasema kweli nimeshikwa na mwanaume.. sio mwanaume mikono sofult kama ya kichangaaa.. Ester kawapa mbinu fursaaaa hiyoo wauza mikaa wachache wamebaki
ila naona ameanza mapema jamani khaa🤦‍♀️😃😃😃
 
Baba jose huenda anaijua katerero thingy...5m tungegalagala kitambaa cheupe kwa mwezi mzimaaaa.. tunajisokota tu na corona beer na misupu ya 🐟 dadek
achaaaa tuuu.. 5 million, mwezi una wiki nne.. ukigawa 5 million ÷ 4 = 1,250,000 kila wiki tungekuwa tunachoma 1.25 mill tu 😅😅😅😅

Kumbuka Baba Jose ni mkata mikaaa huwa ni mijitu yenye nguvu na mikakamavuu kweli kweli.. Ester kaisha wapa code.. mshindwe nyie tu kuitumia fursa😅😅
 
Sio mara ya kukurupuka, Kuna inshu Ile ya mwanajeshi aliyebeba tv ya jamaa, sijui washauri wake maana mambo mengine ni size ya m/Kiti wa mtaa tu.
Kuna shida mahala, nchi iko kwenye sitofaham ya mara Mr. Dubai mara. Miss DP, kwa makusudi kabisa mtu anameza pini, kwenye suala la kitaifala. Inakuja issue minor sana, ambayo iko kwenye ngazi ya Tarafa kama sio Wilaya, then mtu analipuka tu from nowhere, na libarua likubwa likiwa na logo yenye watu wawili. Hivi hawa ni watu sahihi kweli kiasi cha kuwapa mamlaka makubwa ya kiasi hiko? Serious?
 
Back
Top Bottom