Mwanafunzi Mtanzania aliyefariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas atunukiwa Shahada na Chuo cha SUA

Mwanafunzi Mtanzania aliyefariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas atunukiwa Shahada na Chuo cha SUA

The news of Clemence Mtenga's passing in Israel while being named among the graduates of Sokoine University of Agriculture is a tragic event. His dedication to studies and commitment to helping others were evident, and his participation in an agriculture training program showcased his eagerness to learn. The loss of Mtenga and the uncertainty surrounding other Tanzanian students affected by the conflict is deeply saddening.

Our thoughts are with their families and friends during this difficult time.
 
Ardhi ni ya israeli hiyo

Waarabu wanafaa waangamizwe wote dunia ni mijitu yenye ushetani
Kama kweli Mungu yupo, hapo wa kulaumiwa ni Israel.
Kwanini ikalie ardhi ya Wapalestina kimabavu.

Kama kweli pepo ipo, marehemu anastahili pepo.
 
Siku hizi ukipigania uhuru wako na haki yako unaitwa GAIDI
Japo tulikuwa chama kimoja na wapalestina wakati tunapigania Afrika kusini iwe huru. Lakini Afrika yote ilipokuwa huru, tukawatosa Wapalestina. Nyerere alipokufa ndio kabisa. Hivyo ndivyo waafrika walivyo!
Ni wepesi sana kusahau matatizo waliyoyapata. Pengine hii ndio dhambi yetu kubwa, inayotufanya tusitoboe.

Tusitafute mchawi, na ndio maana hata tukienda Afrika kusini wanatukataa maana hawatuelewi. Wakati wao wapo mstari wa mbele kusimama na wapalestina, serikali yetu inashindwa hata kutoa tamko au hata kumuunga Raisi wa Afrika kusini kwa kutaka Nitanyau ashitakiwe.

Na tumesahau kabisa kuwa tuliwasaidia akina Mandela kijeshi na kutumia mbinu hizo hizo ambazo HAMAS wanatumia leo kujikomboa. Du, hivi ndivyo miafrika ilivyo!

R.I.P Clemens Mtenga.
 
Mkuu hata mimi form 4 nlipaa zero sasa zero si haupati cheti so nimekupita madarasa 4 tu wala usijali, kwanza kama umesoma shule ya msingi tu inatosha, me mwenyewe nlikuwa la 7b
una laha ulipata zilo...mimi hata la xaba xikuwezq fika...nifundixxhe tu inapobidi
 
una laha ulipata zilo...mimi hata la xaba xikuwezq fika...nifundixxhe tu inapobidi
Aisee sina kipaji cha kufundisha masta hilo la saba lenyewe ni kwa kudra tu aisee…lakin hongera zako wote mimi na wewe tuna shule ya msingi ambayo ndio elimu inayotosha kabisa kuendesha maisha duniani.
 
ubalikiwe
 
Back
Top Bottom