Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
😝Ardhi ni ya israeli hiyo
Waarabu wanafaa waangamizwe wote dunia ni mijitu yenye ushetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😝Ardhi ni ya israeli hiyo
Waarabu wanafaa waangamizwe wote dunia ni mijitu yenye ushetani
Japo tulikuwa chama kimoja na wapalestina wakati tunapigania Afrika kusini iwe huru. Lakini Afrika yote ilipokuwa huru, tukawatosa Wapalestina. Nyerere alipokufa ndio kabisa. Hivyo ndivyo waafrika walivyo!
Ni wepesi sana kusahau matatizo waliyoyapata. Pengine hii ndio dhambi yetu kubwa, inayotufanya tusitoboe.
Tusitafute mchawi, na ndio maana hata tukienda Afrika kusini wanatukataa maana hawatuelewi. Wakati wao wapo mstari wa mbele kusimama na wapalestina, serikali yetu inashindwa hata kutoa tamko au hata kumuunga Raisi wa Afrika kusini kwa kutaka Nitanyau ashitakiwe.
Na tumesahau kabisa kuwa tuliwasaidia akina Mandela kijeshi na kutumia mbinu hizo hizo ambazo HAMAS wanatumia leo kujikomboa. Du, hivi ndivyo miafrika ilivyo!
R.I.P Clemens Mtenga.
Hana dice[emoji456].sijasoma mkuu....najua +-×÷ na magazijuto!
nifundishe tafadhari
Nisaidie mpaka shida zangu ziishe. Nikipata nakutosa! Au nakuruhusu uuwe watoto wangu, ni kwasababu tu huyo bosi ndio anakupa mshahara.Lakini baada ya kupata uhuru toka kwa mabeberu agenda za nchi za Kiafrika ilibadilika mno, ikawa ni kuleta maendeleo kwa na Mababeru wakawa ni wadau wa Maendeleo, na nchi nyingi za Kiafrika zikawa zinategemea mno katika kujikwamua kiuchumi kutoka Magharibi, na Nchi za Mashariki hasa USSR na kuanguka kwake akawa sio msaada mkubwa tena, hivyo ukaribu na Harakati juu ya Wapelestine ikapungua mno
Watu wote hawawezi kufikiri sawa. Hata leo TZ Vyama mbalimbali vinamtazamo tofauti juu ya muungano. Takwimu juu ya hilo kwa wapalestina kila wakati zilikuwa zikibadilika, hiyo ndio raha ya Demokrasia. Hilo lipo popote, hata Afrika kusini kama baadhi ya vyama havitaki kuona waafrika toka nchi nyingine za Afrika wanakwenda kuishi huko. Si sababu ya kutotekeleza Resolution 181 ya 1947.Lakini pia harakati za Wapalestine zimebadilika na agenda yao imekuwa ikibadilika, kunya nyakati wanatambua kuweko kwa taifa la Israel, kama lilivyotambuliwa na UN kwenye resolution 181 ya 1947, na kuna baadhi ya Wapalestine hawatambua kabisa kuwepo kwa taifa hilo hapo! Waarabu wenyewe wamegawanyika mno! Na kuweka wanatoa support kuwa njia panda!
Resolution 181 ya 1947 ( two states solution). Hamas imekuja 1987. Toka 1947 mpaka 1987 kilifanyika nini juu ya azimio hilo wakiwa na PLO. Jibu hakuna kilichoendelea, bali ni maneno tu ya mabeberu kama kawaida yao. Kuundwa kwa Hamas ni kama frustration ya wapalestina baada ya kuona kama suala zima limekaa kiudanganyifu.Na ujio wa Hamas umebadilisha kabisa mambo! Itikadi ya Hamas ni ya kidini, Kuutumia Uislamu ! iko wazi kwenye Charter yao ya 1987, akina Ahmed Yassin walichukua itikadi ya Moslem Brotherhood, ambayo hata baadhi ya hata nchi za Waislamu kama EGYPTY, hawaikubali na kuifanya nguzo kuu katika mapambano yao na Israel, hivyo nchi nyingi kuikubali Hamas ni kama umekubali itikadi ya Siasa kali....Hii imeifanya support ya Palestine kutokuwa na nguvu, mfano nchi kama Nigeria, kuikubali Hamas ni kama kuihalalisha Boko Haram. Msimamo wa Hamas umeingiza agenda mpya katika mapambano hao
Kuna nchi nyingi zinauchumi zaidi ya Israel. Kutoshirikiana na Israel, sio ndio mwisho wa pumzi. Ushirikiano na Israel unatupa pesa kidogo sana. Nenda kwenye Takwimu uangalie, utaniambia. Hapa sina haja ya kupoteza muda kutoa maelezo mengi.Na sababu nyingine kubwa ni kukua kwa uchumi wa Israel na misaada yake kwa nchi za Kiafrika! Ile Israel ya 1948 sio hii ya leo, licha ya kutokuwa na mafuta, uchumi wao na msaada wao kwa nchi za Kiafrika umeongezeka sana! Nani alijua nchi kama Tanzania tuna vijana kama 260 wanachukua kozi mbali mbali Israel, na nafahamu vijana wengi wa TISS wamesomea Israel.....Ndio maana support ya Palestine sio kubwa, Nchi kama South Africa na chama kama ANC, hawajali mno misaada ya kiuchumi, ndio maana wana ujasiri wa kuvunja uhusioano na Israel! Baadhi ya nchi haziwezi kufanya hivyo.
Hivyo mkuu nchi nyingi zinaangalia maslahi yake kwanza....Unagopa uikiunga mkono waziwazi nini utapoteza
Liache liandamane.Maana hatuwezi kufanana mtazamoAfu lishehe ponda linataka liandamane kuwaunga mkono wapalestina