Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana mana hii nchi ... sio umeskia Maji ya hz mvua hayaendi ktk mabwawa ya umeme!Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.
Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.
Alimaliza la saba na miaka 10.
Alianza la kwanza na miaka 3.
Inawezekana kabisa.
Aiseee si lazima asome Form 6Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.
Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.
Alimaliza la saba na miaka 10.
Alianza la kwanza na miaka 3.
Inawezekana kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chuo chenyewe kairuki[emoji28][emoji28] wizi mtupu
Mtu asipongezwe kisa kazaliwa familia inajiweza? Watu wengine mna roho za aina gani sijui. Aliyekwambia pongezi inatolewa kwa kapuku na maskini pekee nani.Hongera ije iende kwa watoto wa kiswazi wakitokea huko mbeleni:-
1-makapuku na wanataka kusoma,
2-akirudi nyumbani anajipikia,kujifulia,kuchota maji na kutunza wadogo zake,
3-haendi tuisheni wala hana vitabu vya ziada,
4-anaishi kwa kunyanyasika kutoka kwa ndugu, majirani na hata shuleni,
5-anasoma akiwa stressed out hadi huzuni
Huyo ndiye apewe hongera.Si hao mambosafi.
21-4=17Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.
Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.
Alimaliza la saba na miaka 10.
Alianza la kwanza na miaka 3.
Inawezekana kabisa.
Nilimaliza form four na kijana alikuwa na miaka 14 sasa piga mahesabu..lakini kuna wanaosoma mtaala wa Cambridge wanaishia grade 12..so ni kawaida sanaWakwapi sasa? Mbona hayuwaoni!
Baba yake ni dr bigwa wa upasuaji moyo hapo mhimbili mama yake yake yupo wizara ya afyaTatizo sio kumaliza chuo akiwa mdogo, umaarufu huu waweza kugeuka aibu akasota mtaani bila ajira, labda kama atapata ajira ama kama kwao / mume mtarajiwa awe vizuri kiuchumi ampe mtaji
Mimi nikajua Mwanafunzi mwenye umri mdogo kagundua Dawa Mpya ya Malaria🤣🤣🤣
Mwanafunzi huyo atakuwa miongoni mwa wahitimu 138 wa fani ya udaktai katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) kwenye mahafali ya 21 yatakayofanyika siku ya Jumamosi.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam Makamu Mkuu wa chuo cha (HKMU), Profesa Yohana Mashalla wakati akizungumzia mahafali ya 21 ya chuo hicho.
Amesema kuwa wameangalia rekodi kwenye vyuo mbalimbali nchini na hawajaona mtu aliyewahi kuhitimu fani ya udaktari binadamu kwa umri huo.
“Tumeuliza kwenye vyuo mbalimbali vya tiba kuona kama kuna mtu aliyewahi kuhitimu shahada ya udaktari katika umri wa miaka 21 tumekosa. Tumeuliza Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS) lakini wamesema hawajawahi kutokea kwa hiyo tunampongeza Ahlam kwa kuweka rekodi,” amesema
Amesema mwanafunzi aliyewahi kupata Shahada ya Udaktari kwa umri mdogo alikuwa na umri wa miaka 23 hivyi kuwa na miaka 21 Ahlam ameweka rekodi ya aina yake.
Vile vile, HKMU) kimesema kimejipanga kuongeza matumizi ya teknolojia katika utoaji wa elimu, kuongeza tafiti, machapisho na ubunifu ili kwenda na kasi ya dunia kidijitali.
Amesema maboresho hayo yamo kwenye mpango mkakati wa miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2023-2028 ambao umejiita kwenye maeneo sita ya kimkakati.
Profesa Mashalla amesema HKMU imemaliza tathmini ya utekelezaji wa mpango mkakati wa chuo wa miaka mitano wa 2018-2023 mwezi huu kilizindua mpango mkakati wa miaka mitano.
Amesema mpango huo umejikita katika uimarishaji wa utoaji wa elimu na utawala ikiwa ni pamoja na mazingira ya kufundishia na kuongeza udahili, kuboresha mtandao na kuongeza matumizi ya teknolojia katika utoaji wa elimu kwa wanafunzi, wanataaluma na wafanyakazi.
Aidha, Profesa Mashalla amesema kwenye mpango mkakati huo chuo kimepanga kuongeza tafiti, machapisho, ubunifu na kuimarisha mifumo ya mipango na fedha.
Amesema katia kutekeleza mpango huo mwaka huu wa masomo chuo kimedahili wanafunzi wapya 465 katika fani mbalimbali.
“Ongezeko hili la wanafunzi katika mwaka wa kwanza litafanya chuo kuwa na jumla ya wanafunzi 1,628 kulinganisha na wanafunzi 1,452 katika mwaka wa masomo uliopita.
Amesema katika mahafali hayo jumla ya wahitimu watakuwa 296 na kati yao wanawake ni 166 na wanaume ni 130 wakati kwenye Shahada ya Udaktari wa Binadamu wanawake ni 65 na wanaume ni 73.
Profesa amesema kabla ya mahafali hayo kutakuwa na kusanyiko la kitaaluma ambao pia utajadili fursa za kibiashara na mgeni rasmi atakuwa aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Janeth Mbene.
“Tumeona badala ya kujadili masuala ya afya peke yake tuita wataalamu wabobezi kwenye masuala ya biashara na uchumi ili nao watoe mchango wao katika utoaji wa watalamu kwenye sekta ya afya,” amesema
Chanzo: Nipashe
Alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 10, akaanza darasa la kwanza akiwa na Miaka 3??Nilimaliza form four na kijana alikuwa na miaka 14 sasa piga mahesabu..lakini kuna wanaosoma mtaala wa Cambridge wanaishia grade 12..so ni kawaida sana
Hata jina hawasemiHili ni Tangazo la chuo.
Magazeti karibia yote, yamemzungumzia Mhusika kwa aya moja pekee.
Kilichofuata hapo ni dira na mpango mkakati wa Chuo husika kwa kirefu zaidi. Kwa sababu story ya binti inavutia, wakaipachika.
School of medicine ni 5 years Mzee. With one on intern.21-4=17
17-2=15
15-4=11
11-7=3
Upo sahihi kwa hio la kwanza kaanza na miaka 3 nnavyojua hapo bado yupo kindergarten, au wamevuruga mafaili? Kapita njia za panyabuku?
Nilitegemea kuona historia yake kwa ufupi, changamoto alizopitia na namna alivyofanikiwa.Hata jina hawasemi
Wapo watoto bright wanaanza la kwanza na miaka 4. Na skuizi watoto wapo wanaoishia darasa la sita na kuingia form 1.Alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 10, akaanza darasa la kwanza akiwa na Miaka 3??
Ujinga ni mzigo.
Wafrika bado sana
Hakusoma darasa la saba alivushwa kutoka darasa la tano mpaka form one.Alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 10, akaanza darasa la kwanza akiwa na Miaka 3??
Ujinga ni mzigo.
Wafrika bado sana
Watu wanateseka bure tu. Hakuna cha ajabu hapo. Wanaosoma chekechea na wakawa wazuri hata darasa la kwanza hawanzii.Wapo watoto bright wanaanza la kwanza na miaka 4. Na skuizi watoto wapo wanaoishia darasa la sita na kuingia form 1.
Bright gani hawezi kutengeneza hata Manati ya miti?Wapo watoto bright wanaanza la kwanza na miaka 4. Na skuizi watoto wapo wanaoishia darasa la sita na kuingia form 1.
Watu wanateseka bure tu. Hakuna cha ajabu hapo. Wanaosoma chekechea na wakawa wazuri hata darasa la kwanza hawanzii.