Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Kuna watu wameumia sana huku wanaiponda kairuki, hivi angelikua ni mchagga au kabila lolote hapa nchini mngekuja na hizo kasoro mara chuo chenyewe kairuki, wizi mtupu!! Acheni hizo...mpongezeni binti wa watu
 
Hongera ije iende kwa watoto wa kiswazi wakitokea huko mbeleni:-
1-makapuku na wanataka kusoma,
2-akirudi nyumbani anajipikia,kujifulia,kuchota maji na kutunza wadogo zake,
3-haendi tuisheni wala hana vitabu vya ziada,
4-anaishi kwa kunyanyasika kutoka kwa ndugu, majirani na hata shuleni,
5-anasoma akiwa stressed out hadi huzuni
Huyo ndiye apewe hongera.Si hao mambosafi.
Ufukara sio jambo la kutukuzwa
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
inawezekana alikuwa kipanga akawa anavushwa madarasa huko msingi.
 
School of medicine ni 5 years Mzee. With one on intern.

So hapo toa 5.
21-5=16
16-2=14
14-4=10
10-7=3

11-7=4??? Hii hesabu ya wapi Mkuu?
Hio inaitwa jiongeze mkuu ndugu yaan hapo nimefanya approximation is equal to 4-1=3 Ila kiubongoubongo sio lazima uone, bado una tatizo

Hio 3 niliweka sasa wewe kule juu uliweka 3 kikubwa nilitaka kukuunga mkono hoja yako Ila

11-7=4,copy

School of medicine miaka 5
Intern mwaka 1
Total 6 years

21-6=15
15-2=13
13-4=9
9-7=2

La kwanza kaingia ana miaka 2 hongera kwake

Na ukisema tuanze kufanya hesabu utanikimbia tutasolve hapa mpaka kesho
 
School of medicine ni 5 years Mzee. With one on intern.

So hapo toa 5.
21-5=16
16-2=14
14-4=10
10-7=3

11-7=4??? Hii hesabu ya wapi Mkuu?
Wewe kwa sababu ulimaliza form6 na miaka 20 ndio unadhani kumaliza 6 na 16 haiwezekani??
 
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
Wangu alianza na miaka 2.5 hiyo ataivunja hiyo record miaka si mingi
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
Yeye amedai amesoma form I - IV kwa miezi minne na V - VI kwa mwaka mmoja!
 
Back
Top Bottom