Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Na karibu primary itakuwa mwisho darasa la 6 tu na sio la saba. Imagine mtt anaanza la kwanza akiwa na miaka 5, maana yake form 4 anamaliza akiwa na miaka 14 tu
 
Kasema amesoma o level miezi minne so its possibly
 
Back
Top Bottom