Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
inawezekana mana hii nchi ... sio umeskia Maji ya hz mvua hayaendi ktk mabwawa ya umeme!
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
Aiseee si lazima asome Form 6
Vipi kama katokea Kenya?
 
Mtu asipongezwe kisa kazaliwa familia inajiweza? Watu wengine mna roho za aina gani sijui. Aliyekwambia pongezi inatolewa kwa kapuku na maskini pekee nani.

Hakuna tuzo ya umaskini achana na maneno ya mkosaji
 
Kwa mfumo wa NECTA haiwezekan, ila Kwa mfumo mwingne n sawa.
 
Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.

Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.

Alimaliza la saba na miaka 10.

Alianza la kwanza na miaka 3.

Inawezekana kabisa.
21-4=17
17-2=15
15-4=11
11-7=3

Upo sahihi kwa hio la kwanza kaanza na miaka 3 nnavyojua hapo bado yupo kindergarten, au wamevuruga mafaili? Kapita njia za panyabuku?
 
Tatizo sio kumaliza chuo akiwa mdogo, umaarufu huu waweza kugeuka aibu akasota mtaani bila ajira, labda kama atapata ajira ama kama kwao / mume mtarajiwa awe vizuri kiuchumi ampe mtaji
Baba yake ni dr bigwa wa upasuaji moyo hapo mhimbili mama yake yake yupo wizara ya afya
 
Mimi nikajua Mwanafunzi mwenye umri mdogo kagundua Dawa Mpya ya Malaria🤣🤣🤣
 
Nilimaliza form four na kijana alikuwa na miaka 14 sasa piga mahesabu..lakini kuna wanaosoma mtaala wa Cambridge wanaishia grade 12..so ni kawaida sana
Alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 10, akaanza darasa la kwanza akiwa na Miaka 3??

Ujinga ni mzigo.

Wafrika bado sana
 
Hili ni Tangazo la chuo.

Magazeti karibia yote, yamemzungumzia Mhusika kwa aya moja pekee.

Kilichofuata hapo ni dira na mpango mkakati wa Chuo husika kwa kirefu zaidi. Kwa sababu story ya binti inavutia, wakaipachika.
Hata jina hawasemi
 
21-4=17
17-2=15
15-4=11
11-7=3

Upo sahihi kwa hio la kwanza kaanza na miaka 3 nnavyojua hapo bado yupo kindergarten, au wamevuruga mafaili? Kapita njia za panyabuku?
School of medicine ni 5 years Mzee. With one on intern.

So hapo toa 5.
21-5=16
16-2=14
14-4=10
10-7=3

11-7=4??? Hii hesabu ya wapi Mkuu?
 
Alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 10, akaanza darasa la kwanza akiwa na Miaka 3??

Ujinga ni mzigo.

Wafrika bado sana
Wapo watoto bright wanaanza la kwanza na miaka 4. Na skuizi watoto wapo wanaoishia darasa la sita na kuingia form 1.
 
Alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 10, akaanza darasa la kwanza akiwa na Miaka 3??

Ujinga ni mzigo.

Wafrika bado sana
Hakusoma darasa la saba alivushwa kutoka darasa la tano mpaka form one.
 
Kairuki wana haki ya kujigamba. Kumuongoza binti wa miaka 16 mpaka kukamilisha masomo yake vizuri ni mafanikio nayo.
 
Wapo watoto bright wanaanza la kwanza na miaka 4. Na skuizi watoto wapo wanaoishia darasa la sita na kuingia form 1.
Bright gani hawezi kutengeneza hata Manati ya miti?

Hizi school zinazoitwa za vipaji maalum wana vipaji gani?
 
Watu wanateseka bure tu. Hakuna cha ajabu hapo. Wanaosoma chekechea na wakawa wazuri hata darasa la kwanza hawanzii.

Si ajabu alivushwa darasa huko primary kutokana na akili, zilikua zinapanda, ameanza akiwa mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…