BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ufukara sio jambo la kutukuzwaHongera ije iende kwa watoto wa kiswazi wakitokea huko mbeleni:-
1-makapuku na wanataka kusoma,
2-akirudi nyumbani anajipikia,kujifulia,kuchota maji na kutunza wadogo zake,
3-haendi tuisheni wala hana vitabu vya ziada,
4-anaishi kwa kunyanyasika kutoka kwa ndugu, majirani na hata shuleni,
5-anasoma akiwa stressed out hadi huzuni
Huyo ndiye apewe hongera.Si hao mambosafi.
inawezekana alikuwa kipanga akawa anavushwa madarasa huko msingi.Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.
Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.
Alimaliza la saba na miaka 10.
Alianza la kwanza na miaka 3.
Inawezekana kabisa.
hata wa bro alivushwa na yupo six sasa, na yupo vema kabisa.Sio lazima kusoma hadi darasa la saba wapo wengi walivushwa from standard 6 to form 1 ni kawaida
Hio inaitwa jiongeze mkuu ndugu yaan hapo nimefanya approximation is equal to 4-1=3 Ila kiubongoubongo sio lazima uone, bado una tatizoSchool of medicine ni 5 years Mzee. With one on intern.
So hapo toa 5.
21-5=16
16-2=14
14-4=10
10-7=3
11-7=4??? Hii hesabu ya wapi Mkuu?
Manati akiitengeza mwanao inatoshaBright gani hawezi kutengeneza hata Manati ya miti?
Hizi school zinazoitwa za vipaji maalum wana vipaji gani?
Yeah sure, you're an evil spirit. As if muslims are obliged not to study.Sasa mbona muislamu?
Hahahaaa.......tukutane Dar na bahasha ya ajira we mwenye kipaji maalumManati akiitengeza mwanao inatosha
Huyo hakwenda kusomea ujinga?Ma shaa Allah
Tabaraka Allah
Zao la Madrassa hilo.
Hiyo ni kawaida sana maana shule private nyingi hazizingatii suala la kumaliza darasa la saba..mtt anafanya interview tu akifaulu anaanza form one.Watu wanateseka bure tu. Hakuna cha ajabu hapo. Wanaosoma chekechea na wakawa wazuri hata darasa la kwanza hawanzii.
Wewe kwa sababu ulimaliza form6 na miaka 20 ndio unadhani kumaliza 6 na 16 haiwezekani??School of medicine ni 5 years Mzee. With one on intern.
So hapo toa 5.
21-5=16
16-2=14
14-4=10
10-7=3
11-7=4??? Hii hesabu ya wapi Mkuu?
Shule ya msingi hakusoma miaka 7 huyoAlirushwa mkuu, no way alianza la kwanza na mitatu, labda Mitano
Wangu alianza na miaka 2.5 hiyo ataivunja hiyo record miaka si mingiMaana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.
Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.
Alimaliza la saba na miaka 10.
Alianza la kwanza na miaka 3.
Inawezekana kabisa.
You are narrow minded.Tatizo sio kumaliza chuo akiwa mdogo, umaarufu huu waweza kugeuka aibu akasota mtaani bila ajira, labda kama atapata ajira ama kama kwao / mume mtarajiwa awe vizuri kiuchumi ampe mtaji
Yeye amedai amesoma form I - IV kwa miezi minne na V - VI kwa mwaka mmoja!Maana yake alimaliza kidato cha 6 na kuanza mwaka wa kwanza akiwa na miaka 16.
Alimaliza kidato cha nne na miaka 14.
Alimaliza la saba na miaka 10.
Alianza la kwanza na miaka 3.
Inawezekana kabisa.