Mwanafunzi SAUT auawa kizembe


WORD, Story of my life aisee😀😀😀
 
Ninacho amini ni kwamba huwezi kwenda kinyume na maagizo ya Mungu na ukabaki salama....
 
Huyu boya kafa kwa ujinga wake. Hivi hii dunia ya leo unamuekea wivu demu ambaye hata hujamuoa, tena mbaya zaidi alizan huyo demu atakua anatia peke ake.
Unahusika na hicho kifo na sio bureee....choko wewe
 

Point Taken.
 
hawa madem wa saut watamaliza watu, nanyie hamjiulizi katoto katoke kote huko kuja kusoma mwanza.
 
nachojua mabweni ya wasichana wavulana hawaruhusiwi kuingia, tena vyuo vingi huwa kuna matron na walinzi tena kuna muda maalumu wa kuingia. sasa inakuwaje mwanaume tena asiyekuwa mwanachuo anaweza ingia bweni la wasichana ndani ya eneo la chuo? hapo kuna udhaifu katika uongozi wa hicho chuo chenyewe.
 
Nawe uache uzushi wa bifu la watangazaji wa radio e na radio mawingu.
 
Ndugu yangu Shida hapa Ni Mazoea Tu ya watz, kuanzia Wanachuo , walinzi na Mpaka Nzengo , Wee unaweza kumtofautisha mwanachuo na Nzengo ? Pia walinzi wamezoea Tu kuwaona wadada wanaingia Hostel wakiwa na Masela wao .
 
Hii tabia itaisha lini Saut,badilikeni,maana kwa miaka 4,niliyosoma saut,nilishuhudia matukio ya aina hii(4), na leo tena????badiliken achen suala la uchukuaji wa sheria mikonon
 
Hivi yule askar aliebaka mwanachuo mtarajiwa arusha kes yake imeishia wap
 
Ndugu yangu Shida hapa Ni Mazoea Tu ya watz, kuanzia Wanachuo , walinzi na Mpaka Nzengo , Wee unaweza kumtofautisha mwanachuo na Nzengo ? Pia walinzi wamezoea Tu kuwaona wadada wanaingia Hostel wakiwa na Masela wao .
hapana tusitetee uzembe, hapa pana tatizo wasichana hawawezi ingiza misela hovyo tu bila udhibiti, hata danguroni kuna utaratibu wa kuingia.
 
Halafu usikute kuna wanachuo wanaochukua fani ya sheria walihusika kumuadhibu jamaa.
Mkuu konda wa bodaboda,mimi mnamo mwaka 1999 nikiwa Dodoma,sehemu inaitwa Nkuhungu,kulikuwa na baa moja maarufu sana kipindi hicho.Kulitokea kelele za mwizi,sasa nilikuwa na rafiki zangu wanne,mmoja wapo ambaye alikuwa ni mwanasheria wa taasisi moja hapo Dodoma,alinyanyuka na kwenda kuomba mafuta toka kwa madereva wa hiace waliokuwa jirani kwa kutoa offer ya hela nyingi(kipindi hicho hiace nyingi zilikuwa zimechoka na zinatumia mtindo wa mchuzi juu,yaani mafuta kutumika toka kwenye kidumu badala ya tank) ili wamchome huyo aliyesemekana kuwa ni mwizi.Kusema ukweli mpaka leo hii tukio hilo bado lipo ndani ya kumbukumbu yangu.Ndio watanzania tulipofika hapo,hatuna huruma,hatufuati weledi na wala HOFU ya MUNGU haipo tena ndani yetu.
 
hapana tusitetee uzembe, hapa pana tatizo wasichana hawawezi ingiza misela hovyo tu bila udhibiti, hata danguroni kuna utaratibu wa kuingia.
Kuna mtu katetea Uzembe hapa? , okay nn kifanyike sasa
 
Mkuu ilikuwaje, alichomwa mtu siku hiyo? Halafu tatizo la wananchi kujichukulia sheria mkononi linatokana na uzembe wa polisi, wewe mkamate mwizi mfikishe polisi, baada ya masaa kadhaa unakuta ameachiwa, sasa kama uliibiwa pikipiki, iPhone au hata laptop yenye taarifa zako muhimu utajisikiaje? Siku nyingine utathubutu kumfikisha mwizi polisi kweli? Unakuta jamii imeshachoka na matukio ya wizi na polisi yenyewe haielewani na raia, sasa unategemea nini kama sio kujichukulia sheria mkononi pale wanaposikia kelele za mwizi hata kama sio mwizi kweli?
Mimi nailaumu serikali tu kupitia jeshi la polisu kwa sababu haijihusishi na usalama wa raia kikamilifu.
 
Kuna mtu katetea Uzembe hapa? , okay nn kifanyike sasa
hapa lazima uongozi wa chuo uwajibike, wizara husika ipitie upya mazingira ya tukio zima na hatua stahiki zichukuliwe, upo uwezekano kuna watoto kuwekwa vimada mabwenini na uchafu wa kila aina na sidhani tatizo hili liko saut tu linaweza kuwa vyuo vyote nchini vina tatizo hili.
 
Umeona eenhe. sio kwa SAUT Tu ILA vyuo vyote, Chuo kitoe Ushirikiano wa juu kwa Mamlaka husika na Uchunguzi wa tukio na matukio ufanye kazi yake.
 
mkuu konda wa bodaboda,bahati njema alitokea Mzee Athuman Kabongo (kwa vijana wa zamana watakuwa wanamfahamu huyu)ambaye alikuwa akiishi huko Nkuhungu,ndiye aliyeokoa jahazi yule aliyesemekana kuwa ni mwizi asichomwe moto.
Hili suala kweli Polisi wanahusika kwa kiasi kikubwa,lakini mimi huwa napenda kusema wazi kuwa maovu mengi yanayotokea hapa nchini ni kushindwa kwa taasisi za dini kutimiza majukumu yao ya kiroho.
Kama sheikh,padri ama mchunguaji angetimiza jukumu lake ipasavyo,basi mambo yasingekuwa hivi yalivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…