sizya007
JF-Expert Member
- Sep 9, 2013
- 416
- 210
Hiki kitabia kinakuwa kwa kasi kwa hivi vi binti vyetu. Nankumba na hii issue ya hivi ishawahi tokea pale MABIBO HOSTELI. Lakini kwa bahati nzuri jamaa wenzake walikuwa wanamfahamu. Yaani ni bora kama humpendi (hampendani) kila mtu ale time zake sio kusababishiana maumivu ya kizembe. HII NI KWA WADOGO ZANGU MNAO SOMA VYUONI " UKIONA KIBINTI KINAKUSUMBUA ACHANA NACHO PAMBANA NA SHULE" ukirudi kitaa wako wengi tu hawana watu wa kuwaoa. Kwanza ni wapenzi wachache hidumu ambao mahusiano yao ni toka chuo. Wengi wao huishi siku ya graduation na mmoja wao akipata kazi ya maana humsahau mwenzake na kumuona mzigo
WORD, Story of my life aisee😀😀😀