kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
kweli mpendwa, wamekuwa ni watu wa kukurupuka tu na kumwaga damu isiyo na hatia badala ya kuhoji kwanza.
uamuzi lazima uhrshimiwe ila ni haki yetu walugaluga kutoa maoni. Nasema huyo binti kashiriki kuua ingawa hajaua. Kuwekwa lupango kutategemea kosa limewekwa vipi. Kama ni kuua atatoka Kama zombe ila Kama ni kushiriki KWA vile aliita mwizi lazima afungwemkuu naona sasa umeanza kunielewa...binti hakushika jiwe, rungu, fimbo wa tofali kumuua marehemu....kwa hiyo hana kosa lolote na ataendelea na maisha yake ya kawaida uraiani bila bugudha yoyote. nadhani sasa tupo pamoja.