Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,035
by the waysamahani mkuu,hivi hyo BTW kirefu chake ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
by the waysamahani mkuu,hivi hyo BTW kirefu chake ni nini?
by the way
pamoja sanaasante mkuu
Mwana alikufa hivi hiviNdugu zake cjui unawatazama kwa jicho gan kwa kumsababbshia kijana wao kifo,wanawake jamanii dah, ukute kijana wa watu hata hakuwa anapendwa,unaempenda huwez thubutu kumuitia mwizi hata cku moja
Ulikuwa unamjua jamaa???Kilichoniuma huyu mwanamke alikusudia kabisa kumuuwa huyu jamaa rest in peace justus
Mshaanza kuwateteaNi HABARI YA UWONGO MTUPU KWANI MUDA SI MREFU UONGOZI WA CHUO CHA SAUT KUPITIA AFISA HABARI WAKE BWANA KOMU UMEKANUSHA VIKALI KUTOKEA KWA KIFO CHA MWANAFUNZI. UKWELI NI KWAMBA KILICHOTOKEA HUYO MWANAMKE ALIKUWA AMEKWENDA KUOGA BAFUNI NA ALIPORUDI AKAKUTA MTU ASIYEMJUA ANATOKA CHUMBANI KWAKE NA ALIPOINGIA NDANI NDIPO AKAKUTA SIMU YAKE HAIPO HIVYO IKAMLAZIMU APIGE KELELE ZA MWIZI NDIPO WANAZENGO NA WANAFUNZI WALIPOMKIMBIZA HUYO KIJANA KIBAKA, KUMPIGA HADI UMAUTI KUMKUTA. KWA UKWELI WA TAARIFA HII INGIA MTANDAO WA MILLARD AYO HUYO AFISA HABARI WA SAUT AMEFUNGUKA KILA KITU. TUJIFUNZE KUACHA " UZUSHI ".
Du we mbulula kweli alokufa siyo mwanafunzi...Ni mpenzi wa mwanafunziWEWE NADHANI NI MPUMBAVU WA KWANZA WA KARNE HII KUWAHI KUTOKEA. HIVI KAMA UMESOMA JOURNALISM UNAJUA NINI MAANA YA AUTHORITAVE SOURCE, CREDIBLE SOURCE NA RELIABLE SOURCE KATIKA UTOAJI WA HABARI MAHALA POPOTE? KWA TAARIFA YAKO SISI WOTE TUMEAMINI ALICHOKISEMA AFISA HABARI WENU BWANA KOMU HIVYO KAMA UMEKEREKA KWA YEYE KUSEMA UKWELI KUWA ALIYEKUFA HAKUWA MWANAFUNZI NA KWAMBA HAKUNA KIFO CHA MWANAFUNZI YOYOTE WA SAUT UNAWEZA UKAJINYONGA TU. Katika Journalism au Mass Com WEWE TUNAKUITA " Marginal Source " Ambaye KIMANTIKI HUNA CHOCHOTE Zaidi Ya UMBEA TU TENA ULIOTUKUKA.
Du we mbulula kweli alokufa siyo mwanafunzi...Ni mpenzi wa mwanafunzi
Ndio mkuu paka demu nilikuwa namjua vizuri baada ya mauaji kufanyika nilikuja kumuona demu alichonijibu ni Mungu anajuaUlikuwa unamjua jamaa???
Wauaji wote walionekana kwenye video akuna atu yeyote iliyochukuliwaNilivyoona huu uzi unefufuliwa nikafikiri kuna updates zozote labda kesi yoyote kwa wauwaji au mwendelezo wa maisha ya yule mwanamke kumbe zinaendelea R.I.P tu
AlisemajeNdio mkuu paka demu nilikuwa namjua vizuri baada ya mauaji kufanyika nilikuja kumuona demu alichonijibu ni Mungu anajua