kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
kweli mpendwa, wamekuwa ni watu wa kukurupuka tu na kumwaga damu isiyo na hatia badala ya kuhoji kwanza.
uamuzi lazima uhrshimiwe ila ni haki yetu walugaluga kutoa maoni. Nasema huyo binti kashiriki kuua ingawa hajaua. Kuwekwa lupango kutategemea kosa limewekwa vipi. Kama ni kuua atatoka Kama zombe ila Kama ni kushiriki KWA vile aliita mwizi lazima afungwemkuu naona sasa umeanza kunielewa...binti hakushika jiwe, rungu, fimbo wa tofali kumuua marehemu....kwa hiyo hana kosa lolote na ataendelea na maisha yake ya kawaida uraiani bila bugudha yoyote. nadhani sasa tupo pamoja.
.Kwa wale wanaojaribu ku divert hii issue na kumfanya huyo dada aonekane hana makosa mna madhambi mbele za Mungu na mnalijua hilo!
Marehemu alikua ni agent wa warembo/ma miss na amefanya kazi na wanafunzi wengi wa SAUT wa kike na wa kiume na wanamfahamu sana, japo sio wote. Na huyo mwanamke ni girlfriend wake wa muda sana kilichotokea anakijua vizuri sana tu!!
*Hivi unaanzia wapi kumuitia mwizi boyfriend wako kisa tu amekuta text za michepuko kwa simu!?
Mabinti wa SAUT wabadilike maana Matukio ya vijana (wa kiume) kupoteza maisha hapo Chuoni kwa sababu za "kimapenzi" ni mengi, binafsi kaka yangu alinusurika kufa baada ya kupigwa risasi na "pedeshee" aliekua anachepuka na wifi yetu!!
Haki anayo, ila kauli ndo hanaMarehemu hana haki kwakuwa hawezi kusema tena
Kama unajua maana ya funzo, basi utakubali kua haukusema sawa. Funzo, linakusudiwa kumbadirisha mtu toka pembeni na kurudi kwenye mstari ulionyooka. Funzo lazima limpe mtu nafasi ya kujifunza au kubadirika.Japokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu
Sasa kuna uhusiano gani kati ya kutokuwepo ku-disco pale SAUT na hii mada?Samahani mi kiukwel SAUT nichuo ambacho sijawi kukielewa nipo mwanza mwaka kikazi lakini sijawai kutamani kifika saut chuo hakina KUDISCO
Yangekupata wewe kweli ungelithubutu kusema hivyo???,haya bhana.ufukunyuku mwingine bana, sasa simu si yako unapekuapekua kutafuta nini? tena bila hata kujistukia eti unaibeba, ni yako?? BTW pole mhusika!!
Sio kwamba wanafunzi wote wa chuo ni makahaba. Ukisema ivyo unakua umekosea. Kuna watu wanajijeshimu.Ukioa mwanafunzi wa chuo,umeoa kahaba,labda vyuo vya ughaibuni
apana, ningekua nimeshakufa!Yangekupata wewe kweli ungelithubutu kusema hivyo???,haya bhana.
Hawa wadudu Ni Wabinafsi Sana!Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.
Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI, watu walikuja na kupiga bila kuuliza.
View attachment 325868
ufukunyuku mwingine bana, sasa simu si yako unapekuapekua kutafuta nini? tena bila hata kujistukia eti unaibeba, ni yako?? BTW pole mhusika!!
mkuu naona sasa umeanza kunielewa...binti hakushika jiwe, rungu, fimbo wa tofali kumuua marehemu....kwa hiyo hana kosa lolote na ataendelea na maisha yake ya kawaida uraiani bila bugudha yoyote. nadhani sasa tupo pamoja.
By The Waysamahani mkuu,hivi hyo BTW kirefu chake ni nini?
Rejea bandiko namba 57 mkuu,hapoSio kwamba wanafunzi wote wa chuo ni makahaba. Ukisema ivyo unakua umekosea. Kuna watu wanajijeshimu.
Au labda ulishawahi kufanya uchunguzi wa wanafunzi wote wa vyuo vikuu Tanzania na ukathibitisha ukweli wa huo mtazamo wako
Rejea bandiko namba 57 mkuu,hapo
imefanyika hesabu ya kukaribisha kama unajua hesabu vizuri au kama hujazisahau.
kimahesabu mfano gari ikiwa na cc 1998 au 1999 huwa inaitwa cc 2000 au 2.0[/QUOT
Sijaona tofauti kati ya haya niliyoyasema na uliyoyasema kule. Cjui ulikua unamaana gan kuniambia nirudi nilikotoka?