Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Jamii ianze mazoea ya kumuuliza mtu kabla ya kupiga nadhani wanaweza gundua mtuhumiwa na muhusika
 
Jamii ianze mazoea ya kumuuliza mtu kabla ya kupiga nadhani wanaweza gundua mtuhumiwa na muhusika
Tatizo watu uwa na mihemko sana na machungu ya kuibiwa mali zao kwaiyo anaona hasira zake zote amalizie kwa huyo alipatika bila kuhoji wala nini juzi tu nipo hospitali aliletwa jamaa kapigwa vibaya sana kuuliza kumbe kuna dada aliibiwa pochi na kibaka yule jamaa akamkimbiza yule kibaka akafanikiwa kumnyanganya ile pochi akawa anarudi kumpelekea yule dada pochi yake alikutana na raia walipiga paka dada anafika anasema siyo huyu alikuwa afai kuangalia
 
Kesi za namna hii huwa zinajirudia au vipi? Mbona kama tukio hili lilitokea UDSM na ni kitambo kidogo. Nakumbuka tuko A level early 2010s tushawahi simuliwa kisa kama hiki.
 
Huyo mwanamke maisha yake ni ya laana, damu ya jamaa itadaiwa mikononi mwake
 
Japo ni kitambo kidogo, huyo mwamba pichani alikua ni mpigaji kwelikweli kitambo hyo alishirikiana na baadhi ya washkaj wa swea pamoja na boda maarufu Ibu.
 
Japo ni kitambo kidogo, huyo mwamba pichani alikua ni mpigaji kwelikweli kitambo hyo alishirikiana na baadhi ya washkaj wa swea pamoja na boda maarufu Ibu.
Dah na hiii shu ya kuwa na girlfriend kipindi cha tukio ni kweli au watu wamechanganya tu. Nimeona baadhi wakisema manzi wake alishamaliza (ambaye anaonekana kwenye picha zilizoenea) hakuwa na sababu ya kuwa pale WENGINE wanasema alikuwa na manzi pale chuo.
 
ogopa kiumbe mwanamke mwanawane
 
Ila wanawake ni makatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…