Inasikitisha sana. Kuna huyu mwanamuziki John Woka aliyefariki majuzi aliimba na Ras Lion wimbo usemao "Hii kitu, hii kitu, hii kitu hii....Hii kitu, hii kitu, hii kitu hii". It sounded funny but very educative to the young generation.Ee Mora waepushe wanangu walio vyuoni na wanagombaniwa na wasichana kibao. Mwemwemwe utumbo unanitoka bibi mimimi.
View attachment 325870
ni ukweli kabisa
Wacha uongo. Au nikutumie picha zao hao wapenzi wawili??huyo jamaa hakua mwanafunzi bt alikua anafanya biashara na huyo bint, wakati amefata pesa yake kukatokea kutoelewana demu akampigia kelele za mwizi. kama ulikua haujui saut wanafunzi wote wana berg za vitambulisho nadhani angekua mwanafunzi wangejua. baada ya hili tukio wananchi wanaozunguka chuo wamekua na hasira na wanafunzi hali ambayo inatishia amani ktk eneo hilo. marehemu ni mkazi wa nyamalango karibu na kanisa la walokole. hii si kesi ya kwanza saut kwan nikiwa mwaka wa kwanza mwaka 2011 kuna mtu aliuawa hostl anayokaa mpenzi wake kisa mambo ya mapenzi , thn mwaka 2014 mwanafunzi aliuawa na wenzie kwa tuhuma za wizi. kitakua na sintofahamu hapa saut hii si kawaida
unaongea na shuhuda hapa afu unaleta habari za uongozi wa chuo. mimi hata leo nilikuwa nyamalango kwenye kastationary kangu afu wewe unaleta habari za brog apaNi HABARI YA UWONGO MTUPU KWANI MUDA SI MREFU UONGOZI WA CHUO CHA SAUT KUPITIA AFISA HABARI WAKE BWANA KOMU UMEKANUSHA VIKALI KUTOKEA KWA KIFO CHA MWANAFUNZI. UKWELI NI KWAMBA KILICHOTOKEA HUYO MWANAMKE ALIKUWA AMEKWENDA KUOGA BAFUNI NA ALIPORUDI AKAKUTA MTU ASIYEMJUA ANATOKA CHUMBANI KWAKE NA ALIPOINGIA NDANI NDIPO AKAKUTA SIMU YAKE HAIPO HIVYO IKAMLAZIMU APIGE KELELE ZA MWIZI NDIPO WANAZENGO NA WANAFUNZI WALIPOMKIMBIZA HUYO KIJANA KIBAKA, KUMPIGA HADI UMAUTI KUMKUTA. KWA UKWELI WA TAARIFA HII INGIA MTANDAO WA MILLARD AYO HUYO AFISA HABARI WA SAUT AMEFUNGUKA KILA KITU. TUJIFUNZE KUACHA " UZUSHI ".
Uzushi ni upi mtu si ameuawa uongozi wa chuo unafanya hivyo kumtetea huyo mwanafunzi lakini hao walikuwa wapenzi na kuna picha wapo pamoja sasa hilo la uzushi sijui linatoka wapi?Ni HABARI YA UWONGO MTUPU KWANI MUDA SI MREFU UONGOZI WA CHUO CHA SAUT KUPITIA AFISA HABARI WAKE BWANA KOMU UMEKANUSHA VIKALI KUTOKEA KWA KIFO CHA MWANAFUNZI. UKWELI NI KWAMBA KILICHOTOKEA HUYO MWANAMKE ALIKUWA AMEKWENDA KUOGA BAFUNI NA ALIPORUDI AKAKUTA MTU ASIYEMJUA ANATOKA CHUMBANI KWAKE NA ALIPOINGIA NDANI NDIPO AKAKUTA SIMU YAKE HAIPO HIVYO IKAMLAZIMU APIGE KELELE ZA MWIZI NDIPO WANAZENGO NA WANAFUNZI WALIPOMKIMBIZA HUYO KIJANA KIBAKA, KUMPIGA HADI UMAUTI KUMKUTA. KWA UKWELI WA TAARIFA HII INGIA MTANDAO WA MILLARD AYO HUYO AFISA HABARI WA SAUT AMEFUNGUKA KILA KITU. TUJIFUNZE KUACHA " UZUSHI ".
unaongea na shuhuda hapa afu unaleta habari za uongozi wa chuo. mimi hata leo nilikuwa nyamalango kwenye kastationary kangu afu wewe unaleta habari za brog apa
Uzushi ni upi mtu si ameuawa uongozi wa chuo unafanya hivyo kumtetea huyo mwanafunzi lakini hao walikuwa wapenzi na kuna picha wapo pamoja sasa hilo la uzushi sijui linatoka wapi?
Sidhani kama atapata muda wa kuhama maana jera inamhusuHuyo dame ahame chuo hicho kwani lazima kutakua na vendeta
Mhhhhhhh nachelea kusema kuwa hicho chuo kimetukuka kwa umalaya!Kwa wale wanaojaribu ku divert hii issue na kumfanya huyo dada aonekane hana makosa mna madhambi mbele za Mungu na mnalijua hilo!
Marehemu alikua ni agent wa warembo/ma miss na amefanya kazi na wanafunzi wengi wa SAUT wa kike na wa kiume na wanamfahamu sana, japo sio wote. Na huyo mwanamke ni girlfriend wake wa muda sana kilichotokea anakijua vizuri sana tu!!
*Hivi unaanzia wapi kumuitia mwizi boyfriend wako kisa tu amekuta text za michepuko kwa simu!?
Mabinti wa SAUT wabadilike maana Matukio ya vijana (wa kiume) kupoteza maisha hapo Chuoni kwa sababu za "kimapenzi" ni mengi, binafsi kaka yangu alinusurika kufa baada ya kupigwa risasi na "pedeshee" aliekua anachepuka na wifi yetu!!