Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
Kumamae huyu dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sidhani kama kweli viongozi wa dini wanaweza kutatua tatizo hilo kwa sababu wao pia wanakuwa ni wahanga wa vibaka na pia sio kila mtu ni mfuasi wa hao viongozi wa dini, hili ni tatizo la kitabia tu linaloanzia ngazi ya familia, hivyo nakubaliana na wewe ikiwa utasema wazazi ndio hawawajibiki ipasavyo, si kweli kwamba mtu asipofunzwa na sheikh, askofu, padri au mchungaji basi ndio mwizi au atakuja kuwa mwizi.mkuu konda wa bodaboda,bahati njema alitokea Mzee Athuman Kabongo (kwa vijana wa zamana watakuwa wanamfahamu huyu)ambaye alikuwa akiishi huko Nkuhungu,ndiye aliyeokoa jahazi yule aliyesemekana kuwa ni mwizi asichomwe moto.
Hili suala kweli Polisi wanahusika kwa kiasi kikubwa,lakini mimi huwa napenda kusema wazi kuwa maovu mengi yanayotokea hapa nchini ni kushindwa kwa taasisi za dini kutimiza majukumu yao ya kiroho.
Kama sheikh,padri ama mchunguaji angetimiza jukumu lake ipasavyo,basi mambo yasingekuwa hivi yalivyo.
Chuo wanaenda kutafuta vyeti tu, ngono wanaifanya popote tu hao.chuo kutafuta ngono au kusoma?
Guys please stop Throwing stones Kwa SAUT Kwan Mambo kama haya (Ngono) hayafanywi SAUT Tu , karibia vyuo Karibia vyote Hapa Kwa Tz haya mambo yapo Shida ya hicho Ni kwamba Mapenzi wao wanafanya kama Movie au Drama Fulani that which includes the Termination of lives in them, kipindi niko pale Mwaka 2012 Nikiwa mwaka WA kwanza Mwanangu Fulani hostel alifanya Attempt ya kujiua kwa kujichoma kisu kisa Demu wake alimuachaaa Haaa Haaa Nicheke kwanza Maana alinifanya nkapanda ambulance Lile gari linatembeaChuo wanaenda kutafuta vyeti tu, ngpno wanaifanya popote tu hao.
Sijataja chuo chochote mura, au unataka kusema ni saut pekee ndio wanatoa vyeti? Halafu watoto wa kike ndio wanaoongoza kwa uhuni vyuoni kwa tamaa ya pesa.Guys please stop Throwing stones Kwa SAUT Kwan Mambo kama haya (Ngono) hayafanywi SAUT Tu , karibia vyuo Karibia vyote Hapa Kwa Tz haya mambo yapo Shida ya hicho Ni kwamba Mapenzi wao wanafanya kama Movie au Drama Fulani that which includes the Termination of lives in them, kipindi niko pale Mwaka 2012 Nikiwa mwaka WA kwanza Mwanangu Fulani hostel alifanya Attempt ya kujiua kwa kujichoma kisu kisa Demu wake alimuachaaa Haaa Haaa Nicheke kwanza Maana alinifanya nkapanda ambulance Lile gari linatembea
Samahani Lakini Tata Monke kana Mura Kwan hii Mada inahusu Chuo ghani Mura?Sijataja chuo chochote, au unataka kusema ni saut pekee ndio wanatoa vyeti?
Saut, ila mimi nimeelezea kwa ujumla wote kwa maana ya vyote.Samahani Lakini Tata Monke kana Mura Kwan hii Mada inahusu Chuo ghani Mura?
DEMU SIO ALIYEMUUA "MWIZI" ILA AMEULIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA. KOSA LA DEMU NI LIPI?
kosa la demu ni kumpigia jamaa kelele za wizi huku akijua kabisa kuwa jamaa sio mwiziDEMU SIO ALIYEMUUA "MWIZI" ILA AMEULIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA. KOSA LA DEMU NI LIPI?
Haaa Haaa Sawa Tata Monke Wanachuo Huwa hawasomi Ila wanafanyaga Movie Tena Yale Maseries na movie lazima iwe na Matukio ndani Yake na matukio yenyewe Ni kama hayo.Saut, ila mimi nimeelezea kwa ujumla wote kwa maana ya vyote.
Whaaat!!!! Waht a commnet waht a comment?!?!?!?!? Yaani unamtetea huyo muuaji kwani bintint huyo ndio muuaji. Inajulikana kabisa ukisema mwizi Mitanzania inavyothanmini just simu vs Soul ya mtu unajua kabisa kinachotokea nashangaa sana hawa sijui Human right whatever badala kutetea watu wanaouwawa na hii mob justice wako tu kutete viti vya upendeleo sijui nini? Huyu Msichana ni muuaji na ashtakiwe kwa kuua. Mishcana huyu ni kataili sana sana! Hii iliwahi kuotkea UDSM- Kama humtaki mtu tena si umwambie tuuuu?1 Huyu kijana alienda chumba cha msichana akapotea ( huenda alikunywa pombe) wakashout mwizi kilichomsaidia ni Kuongea kwa kiingereza ( wkt huo ngeli ilikuw issue) so akajitetea na kumtaja gilrfriend ambaye hakuwa tayari hata kumtetea kuna wat sijui wana roho za namna gani?!?!?!? Na jamani Magufuli baba yetu hili ni jipu lingine! Na hhii ilianza kidogokidogo. ohh mwizi wa mifukoni sasa hivi ninyi manaofikiria mob-justice ni kwa wizi tu sasa hivi mesambaa mpaka ajali za barabarani and in most cases huwa ni za bahati mbaya. Tuache ushabiki tupambane na Mobu Justice kwani ni Injustice!!!!ufukunyuku mwingine bana, sasa simu si yako unapekuapekua kutafuta nini? tena bila hata kujistukia eti unaibeba, ni yako?? BTW pole mhusika!!
Yaani sijaona katili kama binti huyu achukuliwa hatua kali tena za kuua hata kama bila kukusudia!HII NI AJALI KAZINI. I HOPE BINTI HATACHUKULIWA HATUA YOYOTE YA KUUA KWA KUWA WALIOMUUA JAMAA NI WANANCHI WENYE HASIRA. POLENI SANA WAFIWA KWA KUMPOTEZA KIJANA WENU KIZEMBE HIVYO.
Yaani ni mbaya saana. Kama mzazi tumbo lote limekata . This is unacceptable na tulipinge kwa nguvu zote!Huu Upuuzi kwa Mademu WA Saut Umezidi Sana sijui Njaa anga Mang'ana gha Ushamba Yan , afu Mafara unaendaje kuua Kijana Mwenzako Kwa Kusikia kaitwa mwizi Una uhakika Kweli ameiba ? Nguvu kazi ya Taifa na Kwa jamii Nzima imeniuma Sana kiukweli Nimekumbka na Matukio kadhaa yalowahi kutokea hapo ya aina hyo hyo basi Tu.
Ni laana ambayo haitakaa imuepuke! So sad so bad!Mmmmh hii ni hatari. Hapa ndipo unapoonekana ubaya wa kujichukulia sheria mikononi. Huyo mdada analaana siyo bure.
Kabisa kabisa!Hili suala ni baya huyo dada afikishwe kwenye vyombo vya sheria kujibu kesi ya mauaji na awataje wanafunzi wote waliohusika na mauaji hayo hatuwezi endelea poteza ndugu na jamaa kizembe hivyo.
Alafu Eti Nawe Msomi!!!?? Tena Ukiwa Kijiweni Mbwembwe Kibao!! Ukijinasibu Ni Msomi Na Kuwakoga Masela Kwa "Kizungu "!! Kumbe Masela Tuna Uelewa Mzuri Tu Wa Masuala Mengi!! HIVI Kama Huyo Bint Asingepiga Mayowe Ya "Mwizi! Mwizi! Mwizi "Hao Wananchi Hiyo Hasira Yao Ingetoka Wapi Au Ingeanzaje!!?DEMU SIO ALIYEMUUA "MWIZI" ILA AMEULIWA NA WANANCHI WENYE HASIRA. KOSA LA DEMU NI LIPI?
Kwa kweli Prondo kwa kweli it is inhuman. How can you compare uhai wa mtu na kityu kama simu? Hilo ni moja sasa kuna haya ya kumdhania mtu mwizi mi navisa vingi kimoja wapo mtoto wa form two alichanganya baiskeli iliyofanana na yake mtoto wa form two hata psycholigy tu ya kumuangalia kijana haikuwepo kule Tanga na aliuwawa. Let us say no tu Mob Justice as it is Injustice!Ndio maana kila siku napinga uchomaji moto na upigaji wezi........