Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Kufeli kupo hakuna anayekataa,tatizo la wakufunzi kufelisha wanafunzi lipo sana tu,tena kwa sababu za kipuuzi tu hasa wanawake au kuzidiwa pesa/umaarufu, wote tumesoma chuo na tumeyaona kwa macho,we labda ni seminer leader tena mgeni hapo chuoni kwenu ndio maana unatetea ujinga
 
Appeal za matokeo vyuoni za kisenge sana umungu mtu mwingi sana kwanzia Kwa wakuu wa idara, faculty, college, school, sijui undergraduate studies, sijui senate upambavu mtupu, badala ya Idara na colleges kubeba jukumu la kupitia scripts za wanao appeal wana maurasimu ya kipumbavu kabisa.

Wamejaza uhuni tu na kuwaza kuiba pesa ofisini kujipangia safari za kihuni
 
Kwanini asingeondoka na kichwa cha mkufunzi kama ana uhakika?analemaa yeye mtuhumiwa anaendelea kufelisha wengine,tuanze utamaduni wa kujitoa mhanga kwa faida ya wengi

Vinginevyo angesamehe na kuendelea na maisha tu

Hapo ndipo napowakubali waarabu.

Yaani mwalimu anabaki na afya wewe unaonewa unakufa peke yako.

Mwarabu hapo anameza bomu halafu anaenda ofisini kwa mwalimu. Kujilipua nae
 
Tatizo pia madenti wa siku hizi vilaza sana halafu vinajifanya vina akili kisa vinamiliki simu za kijanja, sijui vinatoka shule gani za madongo kuinama huko hata spellings havijui ndio poa vinaandika P au Pw, ngedere kbsa. Someni Acheni ufala mnajua verse za miziki kuliko models na concepts za class, mnashinda insta, TikTok, tagged na Badoo wahuni nyie pumbavu zenu
 
Kwahiyo mtu akisema kafelishwa timuamini sio? Kwanini asifuate taratibu zilizopo za kukata rufaa ili mtihani wake usahihishwe upya na jopo? Kwanini inajengeka dhana ya kuwadhalilisha walimu wetu bila ushahidi? Vijana wa vyuo ni taabu. Kazi yao kubwa ni kulishana umbeya tu.
 
Wanafunzi wanaosomea afya hawaamini kama kuna maisha nje ya afya kuna mmoja pale muhimbili alijonyonga akiwa mwaka wa 3 baada ya ku disco dansa yaani wanahofia mtaani ukifeli afya itakuwaje na washatangaza wao ni madaktari kazi kweli kweli
 
Kufeli mtihani siyo kufeli maisha hata ukataka kujitoa uhai, ndiyo maana tunapewa second chances (Supps) na ikishindikana una carry over , then ukitoboa maisha yanaendelea. Sijaona sababu ya kutaka kujikatisha uhai hapo, ajitahidi tu afate sheria akate rufaa kama anahisi kafelishwa
 
#TANZANIA
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma, Shule ya Uuguzi na Afya ya umma, Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani kwa madai kuwa mkufunzi wake alimfelisha kwa makusudi na kumfanya kurudia mitihani kila wakati
 
Unafeli mtihani unajirusha kutoka juu ya ghorofa 🙂
Huyu dogo alikuwa tajiri kwamba akifeli mtihan anaogopa kurudi kwenye umaskin au
 
Dah..pole yake
watu wengine ni very sensitive kitu kidogo kinamvuruga, sasa mitihani ya chuo tu anataka kujiua

Akija huku mtaani sijui angefanyaje au ndo angejiingiza kwenye tairi za scania kabisa..
 
Huyo Bora afe tu,kama swala dogo kama Hilo,anashindwa kuchakata akili na kulitatua,itakuaje akikutana na stress za kazini,stress za ndoa,stress za pesa,za ndugu,kwa wakati mmoja?huyu si anaweza akaitia Ndege kwenye bahari kwa msongo wa mawazo?
Sasa angekufa,angekuwa ametatua nini?Hawa vijana shida sana?
Stress kidogo kama hizo,zinamtoa roho?
 
Kuna watu wanateseka sana kiakili. Tiba kubwa n Upendo.
Namtakia uponyaji wa haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…