Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Huyo Bora afe tu,kama swala dogo kama Hilo,anashindwa kuchakata akili na kulitatua,itakuaje akikutana na stress za kazini,stress za ndoa,stress za pesa,za ndugu,kwa wakati mmoja?huyu si anaweza akaitia Ndege kwenye bahari kwa msongo wa mawazo?
Sasa angekufa,angekuwa ametatua nini?Hawa vijana shida sana?
Stress kidogo kama hizo,zinamtoa roho?
Vijana sahv lonyalonya sana
Taifa la bongo fleva shida tupu

Ova
 
Kufeli mtihani siyo kufeli maisha hata ukataka kujitoa uhai, ndiyo maana tunapewa second chances (Supps) na ikishindikana una carry over , then ukitoboa maisha yanaendelea. Sijaona sababu ya kutaka kujikatisha uhai hapo, ajitahidi tu afate sheria akate rufaa kama anahisi kafelishwa
Kijana namjua, alisapua halafu akapata carryover, kwaiyo akawa anajitahidi kumuelekeza mwalimu kuwa carryover yake iwe cleared lakini kwa sheria za Udom kwa carryover inatakiwa urudie semester nzima,

Kwaiyo naona hapo ilimuwea ngumu kwa kufikiria kumudu masomo ya mwaka unaofuata na carryover yake
 
"""Uwongo mwingi afu huyo mwanafunzi hajitambui.. hivi mnaelewa kwa mfumo wa UDOM lecture kumfelisha mwanafunzi ni ngumu sana.."""
 
Kwanini asingeondoka na kichwa cha mkufunzi kama ana uhakika?analemaa yeye mtuhumiwa anaendelea kufelisha wengine,tuanze utamaduni wa kujitoa mhanga kwa faida ya wengi

Vinginevyo angesamehe na kuendelea na maisha tu
Umenena vema mkuu..
 
Nadhani muda huu amesha tambua kuwa afya ni Bora kuliko hayo matokeo ya kwenye makaratasi. Amevunja spinal cord nani atakuwa anamzolea kinyesi.

Vijana tujifunze kuwa na roho ngumu na tujue kukabiliana na changamoto zozote tunazokutana nazo bila kujiingiza kwenye vitu vitakavyo tuletea matatizo
Well said...
 
Back
Top Bottom