Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Akili matope. Hasara kwa wazazi kwa ushenzi wake huo wa kukurupuka.
Naungana na wewe mkuu. Huyu kijana mpaka sasa anajutia alilolitenda.. turudi nyuma vipi amepata faida yoyote...? Yaan empty kabisa😬😬😬😬😬
 
Atajutia sana.bora angefanya sup/carry.inaonekna uyo ajawai kufail au anashindana kuwa best student.
 
Naona wengi mmebezi sana upande mmoja,

Nakumbuka kipind Niko chuo fulani nachukua bachelor (degree yangu ya Kwanza) niliwai kua muhanga
Ilifikia hatua lecturer wangu ananambia lazima nidisco Au yy aache Kaz , kisa ety alikua hatupend mara ooh koz yetu kuna mtu anatoka na mtu wake na mm nkwa ni suspect no 1.

This is bullshit alinifanya nikawa na maisha magumu sana mbwa yule, nmekuja kuchomoka kwa carry over Tena sababu Ile koz alipewa mkufunz mwingine,
IMO msipende criticise mambo msojua, vyuoni mambo mengi , kufelishana nje nje,
 
Naona wengi mmebezi sana upande mmoja,

Nakumbuka kipind Niko chuo fulani nachukua bachelor (degree yangu ya Kwanza) niliwai kua muhanga
Ilifikia hatua lecturer wangu ananambia lazima nidisco Au yy aache Kaz , kisa ety alikua hatupend mara ooh koz yetu kuna mtu anatoka na mtu wake na mm nkwa ni suspect no 1.

This is bullshit alinifanya nikawa na maisha magumu sana mbwa yule, nmekuja kuchomoka kwa carry over Tena sababu Ile koz alipewa mkufunz mwingine,
IMO msipende criticise mambo msojua, vyuoni mambo mengi , kufelishana nje nie,
Sawa,ndio ajirushe ghorofani?huo Ni ubinafsi wa Hali ya juu kashindwa hata kuwafikiria wapendwa wake?maana hapo ilikuwa Ni kufa....Kuna mafanikio kibao nje ya elimu
 
Sawa,ndio ajirushe ghorofani?huo Ni ubinafsi wa Hali ya juu kashindwa hata kuwafikiria wapendwa wake?maana hapo ilikuwa Ni kufa....Kuna mafanikio kibao nje ya elimu
Joannah asikwambie mtu, imagine madhingira ya chuo yalivo magumu level ya saikolojia sio sawa na tunaoandika apa, pressure ni kubwa sana , inshort uwa sometimes nawaonea huruma sana wadogo zangu wa chuo 🥺,
 
Najua,presha Ni kubwa wote tumepita humo,Sema Nini umeongea kuhusu afya ya akili hapo labda kungewekwa tuvipindi twa kuwaandaa Vijana kisaikolojia... Maana kujirusha toka juu kisa umefeli ni maamuzi magumu sana
 
Ofcoz dah mm pia napendekeza ivi, lkn dah hi courage ya kuruka juu ya gorofa was a wrong shot!
 
Inasikitisha sana.

---
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani.

Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi imeuona, uliosambaa mitandaoni ukionyesha majibizano kati ya mwanafunzi huyo akimlalamikia mkufunzi wake kuwa alimfelisha kwa makusudi.

Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 15, 2022 Dk Winnie Msangi kutoka hospitalini hapo amesema walimpokea mwanafunzi huyo jana akiwa kwenye hali mbaya.

Winnie amesema Ezekiel anaendelea na matibabu baada ya kupata majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake.

"Tulimpokea jana na kufanyiwa huduma ya kwanza kwa sababu alikuwa kwenye hali mbaya ya maumivu, mpaka sasa majeraha makubwa tuliyoyabaini ni kwenye uti wa mgongo lakini anaendelea ja matibabu zaidi," amesema Daktari huyo.

Alipoulizwa kuhusu tukio hilo Ofisa habari wa Chuo cha UDOM, Beatrice Mtenga amedai kuwa hana taarifa za tukio hilo na kuomba kupewa muda wa kulifuatilia.

Chanzo: Mwananchi
Hata kama, Ndiyo ukatize maisha yako kisa kufelishwa mtihani?, Huo ni ujinga wa kiwango cha juu mno. Maisha siyo chuo na ndiyo maana bakhessa hana elimu lakini yupo na pesa.
 
Back
Top Bottom