Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

Vijana sahv lonyalonya sana
Taifa la bongo fleva shida tupu

Ova
 
Kijana namjua, alisapua halafu akapata carryover, kwaiyo akawa anajitahidi kumuelekeza mwalimu kuwa carryover yake iwe cleared lakini kwa sheria za Udom kwa carryover inatakiwa urudie semester nzima,

Kwaiyo naona hapo ilimuwea ngumu kwa kufikiria kumudu masomo ya mwaka unaofuata na carryover yake
 
"""Uwongo mwingi afu huyo mwanafunzi hajitambui.. hivi mnaelewa kwa mfumo wa UDOM lecture kumfelisha mwanafunzi ni ngumu sana.."""
 
Kwanini asingeondoka na kichwa cha mkufunzi kama ana uhakika?analemaa yeye mtuhumiwa anaendelea kufelisha wengine,tuanze utamaduni wa kujitoa mhanga kwa faida ya wengi

Vinginevyo angesamehe na kuendelea na maisha tu
Umenena vema mkuu..
 
Well said...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…