Mwanafunzi wa chuo cha TIA Mtwara ajiua

Mwanafunzi wa chuo cha TIA Mtwara ajiua

RIP Reegan
[emoji24][emoji24][emoji24]

Sijui wazazi wake wako na hali ganii, uwiiih
 
Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake.

Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa jana July 4,2023 majira ya saa sita mchana na hadi sasa sababu zilizofanya ajitoe uhai hazijajulikana.

Baadhi ya Mashuhuda wameeleza hisia zao na kusema huenda Kijana huyo aliamua kujitoa uhai kutokana na masuala ya kimapenzi kwasababu Siku sio nyingi alikua amegombana na Mpenzi wake waliyekuwa wakiishi pamoja.

Kamanda wa wa Mtwara Nicodemus Katembo amesema amepokea taarifa za tukio hilo na atalitolea ufafanuzi baada ya uchunguzi wa Madaktari kukamilika na kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Ligula.

Marehemu Reagan muda mfupi kabla ya kujitoa uhai aliweka picha yake ya utoto kwenye WhatsApp Status yake na kuandika maneno yafuatayo ——> “🙏🏾 kwa jasho lako utajipatia chakula mpaka utakaporudi udongoni ulimotwaliwa, maana WEWE NI MAVUMBI NA MAVUMBINI UTARUDI”
Unajitoa uhai kisa mwanamke? Huyu anashida
 
Duniani kuna nguvu mbili tu ya kwanza ni nguvu ya mapenzi ya pili nguvu ya pesa.
Nikisikia mtu amejiua kisa mapenzi wala siwezi kumcheka wala kumlaumu.
NB:mwanaume hatakiwi kuwa na mwanamke mmoja ukijiona una mwanamke mmoja siku zako za kufa zinahesabika
 
Nikiwa third year pale T.I.A Kurasini Dar. Kuna dogo mmoja aliwahi kunywa nyagi na madawa ili afe....ikashindikana....then akatoka na kupanda juu ya ghorofa ( hostel) akajirusha chini....lakini jamaa hakufa aisee wala kuvunjika hata mguu au mkono [emoji15][emoji15][emoji15]

Yote hiyo kwasababu ya mapenzi.

Afu dem mwenyewe sasa.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi wanaume bhana!!! Kiazi kweli!!!

Hostel za TIA kiukweli mtu akijirusha sioni rahisi kupoteza maisha labda kuvunjika .
 
Ukomavu kwenye maswala ya mahusiano na mapenzi kiujumla ni muhimu sana. Huyu dogo inaelekea hakuwahi kutendwa hapo nyuma. Angetuuliza wakulungwa jinsi ya kuhandle haya mambo Kwanza.
RIP Reagan
Daah acha tu nduguu mapenzi sioo.. Hapo ukute katoa helaa za kutosha yanii
 
Boy mi hata nitoe kiasi gani, demu akiamua kutembea na atembee tu. Yaani ile ya kati inifanye nijinyonge na wamejaa hawa kibao!!![emoji38][emoji38]
Nasema badooo.......
Yani haya maishaaa Tatizo moja tena mwingine ukutwe ni kubwa zaidi lakini hata Kujiua hawaziii.. mwinginee kitatizo kidogoo tayari ashawaza kujiuaa
 
Yaani mapenzi kuwa nayo makini sana ukikaa kiboya yanakuendeshaaa sana.
Vitoto vidogo vya kiume havina kipato wala ajira badala ya ku concentrate kusoma vinajiingiza kwenye mahusiano ya mapenzi

Mapenzi ni kwa ajili ya watu wazima wenye kipato cha uhakika

Hivi vyana vyuo vya kiume hopeless kabisa

Vijikite kusoma Shenfield type
 
Vijana umri wa balehe pitieni 'kazi' nyingi hadi mkinaike na after 20 mkiwa na mahusiano, muwe mnachepuka mara moja moja, ili msifikie mawazo haya pindi mnapo tendwa.
 
Back
Top Bottom