Mwanafunzi wa chuo cha TIA Mtwara ajiua

Kiukweli huwezi kumcheka mtu aliyejitoa uhai kwasababu huwezi jua amepitia maumivu yapi mpaka akafikia kuchukua maamuzi magumu.
 
Vijana umri wa balehe pitieni 'kazi' nyingi hadi mkinaike na after 20 mkiwa na mahusiano, muwe mnachepuka mara moja moja, ili msifikie mawazo haya pindi mnapo tendwa.
Wangejua uliyopitia wasingewaza kujiua mkuu😀😀
Em fanya kuwa-tag ule uzi wako maybe utaokoa wengi Wildlifer
 
Uteja wa mapenzi ni mbaya
 
Kiukweli huwezi kumcheka mtu aliyejitoa uhai kwasababu huwezi jua amepitia maumivu yapi mpaka akafikia kuchukua maamuzi magumu.
Ni kuzidisha zaidi maarifa ya kiroho ili hio hali ikikukuta ujue jinsi ya kusolve
 
Yani haya maishaaa Tatizo moja tena mwingine ukutwe ni kubwa zaidi lakini hata Kujiua hawaziii.. mwinginee kitatizo kidogoo tayari ashawaza kujiuaa
Hizi issue za kujiua mkuu zina connection na mambo ya mapepo seriously. Kuna roho flani inakuvaa na kukuweka mbali na watu na kukushawishi kuchukua hiyo hatua na kukuonesha kuwa hakuna linaloweza kufanyika ili kujitoa katika hali hiyo ya huzuni iliyokukumba. Tunaambiwa tuombe na tusali no matter tunamkosea Mungu kilasiku kwamaana yeye NI mwingi wa rehema hata atusamehe dhambi zetu.
 
Hakupatana na watu wakasimamia Psychology yake.

Lakini tusimuone mjinga
 
Sura na shape tutavikataa ila yaliyomo ndio 😋
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni Akili ndogo,yeye Ndiye wakwanza kugombana na mpenzi wake?Halafu ukifuatilia utakuta pisi ynyewe mbovu.R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…