Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
17,999
Reaction score
21,560
Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani
saa 9 zilizopita.

Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo.

Momodou Taal, ambaye ana uraia pacha wa Uingereza na Gambia, alinyimwa viza yake ya mwanafunzi kutokana na jukumu lake kwenye maandamano ya chuoni mwaka jana huku vita vya Israel na Gaza vikiendelea.

Awali Bw. Taal alishitaki kuzuia kufukuzwa kwake, lakini Jumatatu alichapisha kwenye X kwamba ameamua kuondoka nchini Marekani "huru na kichwa changu kikiinuliwa". Ni baada ya jaji kukataa ombi lake la kuchelewesha kufukuzwa kwake.

Utawala wa Trump unakabiliana na wanafunzi wa kimataifa ambao wamekuwa wakifanya maandamano dhidi ya Israeli kwenye baadhi ya vyuo vikuu nchini humo.

Wazungu huwa ni wagumu kuelewa kama kenge. Utashangaa anapokelewa na kuishi UK hadi atakapotekeleza tukio la kutisha
 
Ngozi nyeusi basi tu nisimalizie huyo anaenda kuzodolewa huko Gambia mpaka akili imkae na wanawake wa Gambia kama wa Nigeria sipati picha mashangazi watakavyofurahi
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani
saa 9 zilizopita.

Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo.

Momodou Taal, ambaye ana uraia pacha wa Uingereza na Gambia, alinyimwa viza yake ya mwanafunzi kutokana na jukumu lake kwenye maandamano ya chuoni mwaka jana huku vita vya Israel na Gaza vikiendelea.

Awali Bw. Taal alishitaki kuzuia kufukuzwa kwake, lakini Jumatatu alichapisha kwenye X kwamba ameamua kuondoka nchini Marekani "huru na kichwa changu kikiinuliwa". Ni baada ya jaji kukataa ombi lake la kuchelewesha kufukuzwa kwake.

Utawala wa Trump unakabiliana na wanafunzi wa kimataifa ambao wamekuwa wakifanya maandamano dhidi ya Israeli kwenye baadhi ya vyuo vikuu nchini humo.

rudi home mwanangu umeandika historia,umefukuzwa na Trump sio makonda
 
Back
Top Bottom