Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

Nguruwe mweusi huyo kutoka ushuzini gambia akili kisoda akijiona mwarabu kumbe ngozi ya tako wacha akaangalie maisha mengine huko aendako. Thank u Trump 🙏🙏
 
Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani
saa 9 zilizopita.

Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo.

Momodou Taal, ambaye ana uraia pacha wa Uingereza na Gambia, alinyimwa viza yake ya mwanafunzi kutokana na jukumu lake kwenye maandamano ya chuoni mwaka jana huku vita vya Israel na Gaza vikiendelea.

Awali Bw. Taal alishitaki kuzuia kufukuzwa kwake, lakini Jumatatu alichapisha kwenye X kwamba ameamua kuondoka nchini Marekani "huru na kichwa changu kikiinuliwa". Ni baada ya jaji kukataa ombi lake la kuchelewesha kufukuzwa kwake.

Utawala wa Trump unakabiliana na wanafunzi wa kimataifa ambao wamekuwa wakifanya maandamano dhidi ya Israeli kwenye baadhi ya vyuo vikuu nchini humo.

Ukiwa kwenye nchi za watu, stay out of politics. Kama hupendi siasa na mitazamo yao hukupaswa kuwa hapo bali ulipaswa kwenda unapoona siasa na mitazamo inakufaa wewe.
 
Nguruwe mweusi huyo kutoka ushuzini gambia akili kisoda akijiona mwarabu kumbe ngozi ya tako wacha akaangalie maisha mengine huko aendako. Thank u Trump 🙏🙏
Mwenzio ana uraia wa Uingereza yuko mbali,sijui wewe unahemea getto gani TZ
 
Uislam unazidi kushika kasi duniani
Tanzania tu wanapungua kila uchao watu wa kileo wanaanza kujitambua na kuachana na tamaduni za kigeni kwani wamegundua ni utapeli tu.

Nimeona kwenye mwezi wanaouita mtukufu watu wengi tu walikuwa wanakula kama kawaida na wanawake wanaovaa maushungi ni wa kutafuta kwa tochi.
 
Back
Top Bottom