Wakamlee waarabu wa Abu Dhabi na QatarMaandamano unatakiwa ufanyie kwenu
Wanashindwa kuelewa, freedom huwezi kuitafutia ugenini; ukiwa ugenini tii na fuata maelekezo ya ugenini.Wakamlee waarabu wa Abu Dhabi na Qatar
Ni jambo jema.Jumatatu alichapisha kwenye X kwamba ameamua kuondoka nchini Marekani "huru na kichwa changu kikiinuliwa". Ni baada ya jaji kukataa ombi lake la kuchelewesha kufukuzwa kwake.
Wazungu huwa ni wagumu kuelewa kama kenge. Utashangaa anapokelewa na kuishi UK hadi atakapotekeleza tukio la kutishaMomodou Taal, ambaye ana uraia pacha wa Uingereza na Gambia, alinyimwa viza yake ya mwanafunzi kutokana na jukumu lake kwenye maandamano ya chuoni mwaka jana huku vita vya Israel na Gaza vikiendelea.
rudi home mwanangu umeandika historia,umefukuzwa na Trump sio makondaMwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani
saa 9 zilizopita.
Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo.
Momodou Taal, ambaye ana uraia pacha wa Uingereza na Gambia, alinyimwa viza yake ya mwanafunzi kutokana na jukumu lake kwenye maandamano ya chuoni mwaka jana huku vita vya Israel na Gaza vikiendelea.
Awali Bw. Taal alishitaki kuzuia kufukuzwa kwake, lakini Jumatatu alichapisha kwenye X kwamba ameamua kuondoka nchini Marekani "huru na kichwa changu kikiinuliwa". Ni baada ya jaji kukataa ombi lake la kuchelewesha kufukuzwa kwake.
Utawala wa Trump unakabiliana na wanafunzi wa kimataifa ambao wamekuwa wakifanya maandamano dhidi ya Israeli kwenye baadhi ya vyuo vikuu nchini humo.
Cornell University student targeted by Trump leaves the US
British citizen Momodou Taal had his visa revoked due to protest activities opposing Israel.www.bbc.com
Huna elimu kuhusu human rights!!! Pitia kidogo ili kutambua Hali zako.Maandamano unatakiwa ufanyie kwenu