Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

One mistake, one goal. Kwenye maisha ni kuviziana. Hizo zinatokea sana, ni wakufunzi wachache sana ambao hawana muda na pisi za chuo.
 
Kuna mahali ulizingua yeye akaamua kukuonesha kuwa anaeoa ni me.
hapana πŸ˜„πŸ˜„,, kumbe alitoka uko mkoa alokua anakaa kaacha mke na mtoto wana life gumu aseee afu nakuja kujua tayar nna mimba ,, nilkua sna tabia ya kushika cm yake sku io nikashikaπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ,,,,, tuishie apa kifup msipende sana kutunanga single maza tuna mengiiiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida wana hela ya kuwadhibiti mademu zenu wa chuo.
 
Kama niliwahi kuwananga mnisamehe sana maana kituo nilichopo sasa ni singo maza πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…