Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Ila wenyewe pia mnapenda wazee.
Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
 
Kabisa Ila watu wanachukulia wachache wanaotoa rushwa za ngono kusawazisha mambo yao. Na usishangae, student kamiss mtihani au kakamatwa somo flani, lecturer ndio anatumia huo mwanya kufanya yake..

Vyuoni kuna mengi yanaendelea. Lecturers baadhi wanatumia wanafunzi kama part of fun
One mistake, one goal. Kwenye maisha ni kuviziana. Hizo zinatokea sana, ni wakufunzi wachache sana ambao hawana muda na pisi za chuo.
 
Kuna mahali ulizingua yeye akaamua kukuonesha kuwa anaeoa ni me.
hapana 😄😄,, kumbe alitoka uko mkoa alokua anakaa kaacha mke na mtoto wana life gumu aseee afu nakuja kujua tayar nna mimba ,, nilkua sna tabia ya kushika cm yake sku io nikashika🙌🏾🙌🏾,,,,, tuishie apa kifup msipende sana kutunanga single maza tuna mengiiii🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Mkuu sikatai watu wachapane miti wanavotaka.

Ila kwanini wazee wawe chanzo cha mambo ya ajabu ajabu kwa sasa.

Kuna uzi furani wa ukimwi walitoa takwimu wazee ndo wanaongoza kuambukiza.

Hawa wazee ni hovyo sana inabidi sasa tu deal nao perpendicular wanakera mno
Shida wana hela ya kuwadhibiti mademu zenu wa chuo.
 
hapana 😄😄,, kumbe alitoka uko mkoa alokua anakaa kaacha mke na mtoto wana life gumu aseee afu nakuja kujua tayar nna mimba ,, nilkua sna tabia ya kushika cm yake sku io nikashika🙌🏾🙌🏾,,,,, tuishie apa kifup msipende sana kutunanga single maza tuna mengiiii🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Kama niliwahi kuwananga mnisamehe sana maana kituo nilichopo sasa ni singo maza 😂
 
Back
Top Bottom