Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #261
Usinichanganye ntakudunda.humu mpo wengi sasa😂😂
Ndo hii kutwa kusema tafuta pesa..Mizee ambayo ujanani ilishindwa kutongoza wanawake wazuri inatumia madaraka yao kuwatumia watoto wazuri. Ni ushamba na uhayawani.
Sawa mkuu, ujumbe umefika.Mimi natoa rai kwa vijana na hao wazee mtu atakaepita na bloodline yangu anakula pipe..
Sifagilii huo utoto mimi lazima kieleweke.
Mi wanangu wapo mikono salama
kumbe na unadunda pia🙆🏾🏃🏾♀️Usinichanganye ntakudunda.
enhee ikawaje.....Asante studio, tuendelee na mada.
Wanawafanyia hivyo watoto wa wenzao, watoto wao wanawalinda kwa bastola.Ndo hii kutwa kusema tafuta pesa..
Kuna mizee hata humu ipo ya Hovyo sana...
Mtu unataka kula vitoto vya masikini kiholela holela tuu.
Mi nakuta mtu ana mambo kama haya ni pipe ya kichwa afie mbele huko
Hii inauma sana mkuu..Wanawafanyia hivyo watoto wa wenzao, watoto wao wanawalinda kwa bastola.
Heartless fools!
Hao mademu wa 2000 wanaogopaga mimba tu!Haya mambo ni kuwa nayo makini sana.
Watu wanatembea na mavitu yao
Sasa huyu binti mpaka utoe rushwa ya ngono ndo upate kazi.
Haya unapata kazi baada ya miezi kazaa unagundua umebeba mavitu ya ajabu inakuaje hapo..?
Mkuu umekamia hii point ya malecture kweli kweli.
Hawana akili kabisa...Hao mademu wa 2000 wanaogopaga mimba tu!
Kumbe nao malecture kama wazee wa humu jf nao hovyo sana.Ilishawahi kuwafikia watu watatu, ninaowajua . Mmoja aliihusisha takukuru Ila cha moto alikiona , mmoja alikaza mwanzo mwisho ila alilowea kwenye pombe ili apunguze stress za hiyo situation maana lecturer alikuwa anamfanyia harassment kila anapomuona hadi class. Ikabidi awe anajifungia room Tu japo alikuwa anatumiwa text za "unajifanya mhanje, tutaona kama utarudi next semester"
Huyo mwingine niliona issue yake imekufa ghafla, nikajua aidha lecturer ni msikivu au amepata alichokitaka😁😁
Jibu atalipata wapi ? Wakati yeye mwenyewe ndiyo mapigo yakeNdio maana kashindwa kutoa jibu la moja kwa moja. Maofisini kuna ufuska mwingi sana.
Unatafta coursework utaachaje kuachia paja, ukikaza unafelishwa tu sasa nani anataka kupotezena muda.Sijasoma college au institute, nimesoma university na nachokiongea sio hear say. Mimi nilikuwa karibu na huyo mtu hadi screenshots nilikuwa natumiwa.
Usichokijua, students wengi hufanya hayo mambo kwa siri sana na huwa wanawahadithia watu wa karibu. Usishangae katika watu unaowajua washapitia hiyo shida Ila hawawezi kukusimulia kama huna haiba ya watu kukufungukia
nime experience ivo vitu kipindi nipo chuo kwa madem zangu wawili ambao waliingia kwenye 18 za hao lecturers so nina uhakika na nilichokiandika mimi mwenyewe nilikua victim maana niligraduate mwaka mwingine tofauti na wenzangu baada ya kulimwa sup.Hizo kesi vyuoni hazifiki mbali Ila ikitokea kama mwanafunzi kwao kuna uwezo. Ndio hao huwa wanahusisha hadi PCCB lakini baada ya hapo, victim ndio huchukuliwa kama anachafua chuo au kaharibu maisha ya mwalimu wao. Kinachofuata hapo, ni kheri binti ahame chuo maana possibility kubwa ni kuwa atawindwa na lecturers almost wote
Hizi sio hear says, nimezishuhudia mkuu. Na kama bado unaamini binti akifika 18+ hawezi kushawishiwa. Subiri liingie kwenye familia yako. Utaelewa practically mkuu
Ndo hivyo mkuu, hata wazee pia ni binadamu.. Watoto wa sasa hivi wapo moto sanaWatoto wabichi wazuri, ni zaidi ya kishawishi.
Pole mkuu Ila ndio maishanime experience ivo vitu kipindi nipo chuo kwa madem zangu wawili ambao waliingia kwenye 18 za hao lecturers so nina uhakika na nilichokiandika mimi mwenyewe nilikua victim maana niligraduate mwaka mwingine tofauti na wenzangu baada ya kulimwa sup.
kuna lecturer mmoja bado anamfuatilia dem wangu mmoja mpaka leo bila mafanikio pamoja na intimidations kibao kipindi tupo chuo wakati ashagraduate.
ukweli ni kwamba hao wadada wanatoa izo rushwa kwa KURIDHIA na inadepend na mdada mwenyewe jinsi alivyojiweka sio wote wanaombwa.
Tunawatetea mabinti ila Kuna wakati huyo rushwa inawasaidia mabintiUnatafta coursework utaachaje kuachia paja, ukikaza unafelishwa tu sasa nani anataka kupotezena muda.
Afya ya akiliIla Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Upele umepata mkunaji.. Chalamila ni bonge la Mwanasaikolojia.Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
Ukifanya tafiti ndogo ata ya humu ndani utabaini hilo pia kuwa mabinti wanapenda sana wazee.Upele umepata mkunaji.. Chalamila ni bonge la Mwanasaikolojia.
Vibbinti siku hizi ndo vinapenda Vibabu.
Over.