Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mizee ambayo ujanani ilishindwa kutongoza wanawake wazuri inatumia madaraka yao kuwatumia watoto wazuri. Ni ushamba na uhayawani.
Ndo hii kutwa kusema tafuta pesa..
Kuna mizee hata humu ipo ya Hovyo sana...

Mtu unataka kula vitoto vya masikini kiholela holela tuu.

Mi nakuta mtu ana mambo kama haya ni pipe ya kichwa afie mbele huko
 
Mkuu umekamia hii point ya malecture kweli kweli.

Ilishawahi kuwafikia watu watatu, ninaowajua . Mmoja aliihusisha takukuru Ila cha moto alikiona , mmoja alikaza mwanzo mwisho ila alilowea kwenye pombe ili apunguze stress za hiyo situation maana lecturer alikuwa anamfanyia harassment kila anapomuona hadi class. Ikabidi awe anajifungia room Tu japo alikuwa anatumiwa text za "unajifanya mjanja, tutaona kama utarudi next semester"

Huyo mwingine niliona issue yake imekufa ghafla, nikajua aidha lecturer ni msikivu au amepata alichokitaka😁😁
 
Ilishawahi kuwafikia watu watatu, ninaowajua . Mmoja aliihusisha takukuru Ila cha moto alikiona , mmoja alikaza mwanzo mwisho ila alilowea kwenye pombe ili apunguze stress za hiyo situation maana lecturer alikuwa anamfanyia harassment kila anapomuona hadi class. Ikabidi awe anajifungia room Tu japo alikuwa anatumiwa text za "unajifanya mhanje, tutaona kama utarudi next semester"

Huyo mwingine niliona issue yake imekufa ghafla, nikajua aidha lecturer ni msikivu au amepata alichokitaka😁😁
Kumbe nao malecture kama wazee wa humu jf nao hovyo sana.

Sasa kwa stage aliyopo yeye ni ya kula mwanafunzi kweli kwa ajili ya kumjazia assignment..

Malecture nao hovyo sana pmbv zao hawa na hii ngoja nifatilie isije kuwa binti kila semister anakuja na matokeo mazri nafurahia kumbe huku chini hamna kazi.

Mkuu asante kwa kunisanua
 
Sijasoma college au institute, nimesoma university na nachokiongea sio hear say. Mimi nilikuwa karibu na huyo mtu hadi screenshots nilikuwa natumiwa.

Usichokijua, students wengi hufanya hayo mambo kwa siri sana na huwa wanawahadithia watu wa karibu. Usishangae katika watu unaowajua washapitia hiyo shida Ila hawawezi kukusimulia kama huna haiba ya watu kukufungukia
Unatafta coursework utaachaje kuachia paja, ukikaza unafelishwa tu sasa nani anataka kupotezena muda.
 
Hizo kesi vyuoni hazifiki mbali Ila ikitokea kama mwanafunzi kwao kuna uwezo. Ndio hao huwa wanahusisha hadi PCCB lakini baada ya hapo, victim ndio huchukuliwa kama anachafua chuo au kaharibu maisha ya mwalimu wao. Kinachofuata hapo, ni kheri binti ahame chuo maana possibility kubwa ni kuwa atawindwa na lecturers almost wote

Hizi sio hear says, nimezishuhudia mkuu. Na kama bado unaamini binti akifika 18+ hawezi kushawishiwa. Subiri liingie kwenye familia yako. Utaelewa practically mkuu
nime experience ivo vitu kipindi nipo chuo kwa madem zangu wawili ambao waliingia kwenye 18 za hao lecturers so nina uhakika na nilichokiandika mimi mwenyewe nilikua victim maana niligraduate mwaka mwingine tofauti na wenzangu baada ya kulimwa sup.

kuna lecturer mmoja bado anamfuatilia dem wangu mmoja mpaka leo bila mafanikio pamoja na intimidations kibao kipindi tupo chuo wakati ashagraduate.

ukweli ni kwamba hao wadada wanatoa izo rushwa kwa KURIDHIA na inadepend na mdada mwenyewe jinsi alivyojiweka sio wote wanaombwa.
 
Pole mkuu Ila ndio maisha
 
Unatafta coursework utaachaje kuachia paja, ukikaza unafelishwa tu sasa nani anataka kupotezena muda.
Tunawatetea mabinti ila Kuna wakati huyo rushwa inawasaidia mabinti

Binti anajijua akili zake tia maji tia maji,masela wa kitaa wanakung'uta kishkaji kwa 15k hadi 30k. Lecturer akiomba mzigo ili afaulu UE ,Demu anasema Bora huyu Dr kuliko Sele bonge.
 
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.

Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.

Upele umepata mkunaji.. Chalamila ni bonge la Mwanasaikolojia.

Vibbinti siku hizi ndo vinapenda Vibabu.

Over.
 
Back
Top Bottom