Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Jibu atalipata wapi ? Wakati yeye mwenyewe ndiyo mapigo yake

Halafu ogopa ma-lecturer wafupi na wenye vipara!! Mitihani yao migumu sana ili wawapate wanafunzi wa kike wa kuwalala
πŸ˜‚ kwahiyo wanatunga mitihani migumu kama mtego wa kuwanasa wakifeli?
 
Wafungwe hidden cameras na waweke kwenye mitandao kuwaaibisha hao wazee wanaotuharibia sifa ya Uzee
Mtoto anakuja kwangu ana shida kwanini nimuombe aisee
Tena wajukuu zangu
Ningekuwa reporter ningewafunga camera hao ili wazee waumbuke shenzi kabisa
 
Ingewezekana kufanyika hivyo ingekuwa vizuri.
 
Ikawaje mkuu?

Maza alizimika na bwanga la suruali πŸ˜‚
Acha kabisa, mumama alikuwa anachanganyikiwa akiniona kijana enzi hizo niliyekuwa napangilia pamba vizuri suruali imenyooka hadi ile mstari wa pasi unaweza kukuchana ukinisogelea vibaya, kijana anashuka kwenye Toyota baloon

Alikuwa ananiambia "zungu mpenzi wangu,mbona unaniringia"

Hahahah! Nikikumbuka nafurahi sana,sijui sasa kama yuko hai au laa, ana wajukuu na vitukuu vingapi.
 
Umetisha ila ndo uhalisia ulivyo, kelele haziwezi kusaidia. Mhusika mwenyewe ukatae tu.
Hakuna cha bure Kudadadeki. Unataka utoke Vua Chupi Watu waweke kisha ndiyo Ufikiriwe hutaki Kaa na Ujuzi wako Kwenu.
Hakuna cha bure Kudadadeki. Unataka utoke Vua Chupi Watu waweke kisha ndiyo Ufikiriwe hutaki Kaa na Ujuzi wako Kwenu.
 
Hukuchangamkia fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…