Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Ni shida mkuu
Kweli kabisa, Hata wanaume mara 1 hutukuta.
Nakumbuka hata kwa upande wangu enzi hizo naanza kijikazi changu cha kwanza kampuni moja kongwe ya kilongalonga Tanzania ,yalinikuta kabisa .....Mumama wa watu alikuwa ananisifia kijana wa watu kipindi hiko napigilia suruali safiiiii,inapanga imenyooka safi ambayo kijana wa sasa ukishona unatoa suruali 3 na italian moccasins ya urithi inawaka..akachanganyikiwa atake kijana nimlambelambe niwe . . . . . .
 
Mimi sio mzee, na nikizeeka nitakuwa mzee wa busara. Enzi hizo hawatokuwa mabinti wa 2000, watakuwepo wa 2030 πŸ˜‚
Mxiuuu hahahaha uiiiiiiiiiiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aloooh nkikufuma na mwanangu nitakufanya mbaya
 
100 πŸ’― jiulize kwann baba zetu n wazee kulko mama zetu...utaeleewa haikuanzia leoo mkuuu ndioomaana wanangu nawashirikisha kwenye biashara waone nachofanya siku ikitokea wanajisaidia wenyeee yaan naniiwawape wakipenda sio kwa ajira
Mkuu unaanzaga vizuri ila kuna mda unakuwa hovyo na wewe..
Ila unamalizia vizuri.
Kikubwa usije kuwa hovyo kama wazee wa jf humu
 
Na usije fikilia sio wazee wa humu hata huko unapoishi.

Pata wa rika lako inatosha "usiharakie maisha"" wewe ni mwelewa sana inaelekea
Yani saivi ni shagalabagala,,si vijana si wazee wote ni hovyo🀣.

adi nimeamua kua mwenyewe tu sasa nitafute pesa.

Siku nitaleta ushuhuda hakika wote humu mtalia πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…