Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Kweli kabisa, Hata wanaume mara 1 hutukuta.Ni shida mkuu
Nakumbuka hata kwa upande wangu enzi hizo naanza kijikazi changu cha kwanza kampuni moja kongwe ya kilongalonga Tanzania ,yalinikuta kabisa .....Mumama wa watu alikuwa ananisifia kijana wa watu kipindi hiko napigilia suruali safiiiii,inapanga imenyooka safi ambayo kijana wa sasa ukishona unatoa suruali 3 na italian moccasins ya urithi inawaka..akachanganyikiwa atake kijana nimlambelambe niwe . . . . . .