Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Ila hiyo ya malecture wanakuza sana tofauti na uharisia ulivo.Wapo wanaojirahisisha Ila kuna wengi tu wanashinikizwa. Na kheri field kuliko vyuoni maana lecturers huwa hawataki neno HAPANA, na akilipata, atamsumbua huyo mwanafunzi hadi amkubalie au amfelishe
Mwanafunzi ndo atamtafuta lecture kwa ajili ya course work.
Hapo utasema lecture ndo mwenye shida au mwanafunzi..?