Mi nakupaaaa ukweli utakiii pitakuleee njoo tunyweee sabatooo hapaa bia tamu bar mkuu mbezibeachMkuu unaanzaga vizuri ila kuna mda unakuwa hovyo na wewe..
Ila unamalizia vizuri.
Kikubwa usije kuwa hovyo kama wazee wa jf humu
Hapana,, nataka nishuhudie kiapo chakeAtakuwa amekufa
We endelea kujiona mtoto 😂😂😂 Kumbe unajua sooo usinitishe,,nkifka 30 ndo ntaanza kufikiria kushtuka ,,anhaa kumbe mimi ni mwanamke,then 35 ndo naanza kupapatika sasa.
Humu jf hakuna vijana wa hovyo wa kufanya wewe kuwa mwenyewe.Yani saivi ni shagalabagala,,si vijana si wazee wote ni hovyo🤣.
adi nimeamua kua mwenyewe tu sasa nitafute pesa.
Siku nitaleta ushuhuda hakika wote humu mtalia 😂
hakuna mtoto mwenye mtoto kwaio mimi sio mtoto 😂🤣,,sema saivi nmekaa pending ata vijana nawazoom tu 😂🤣We endelea kujiona mtoto 😂
Hawawahuni tu mkuuu asikwambie mtu m niliwahi kuwa dalali wa hr siku nagundua anaumwa hiv nilichoka alipokufa walipuputika mmojammmoja ofisin achatu nkatubu na kufunga..Hapana ila unapotaka kuongelea hao watu kuna sehemu ya kuweka malalamiko hivo unapoleta maneno kama hayo unajitafutia BAN kijana
Sawa kama upo upande wa wanayofanya wazee naona kabisa wewe ni miongoni mwa wazee wa hovyo hapo 2050Mi nakupaaaa ukweli utakiii pitakuleee njoo tunyweee sabatooo hapaa bia tamu bar mkuu mbezibeach
shindwa nawewe😂🤣,,nilishaangalia uyo kijana aseeee aseeee aseeee,, vijana wa saiv ni balaa,,nmepigwa na kitu kizito hakika sitowahi sahau🙌🏾🙌🏾🙌🏾Humu jf hakuna vijana wa hovyo wa kufanya wewe kuwa mwenyewe.
Ila wazee ndio hovyo ambao kama ungeingia huko ingekua mbaya zaidi.
Muda bado upo angalia kijana mmoja ambaye unaona anaelekea tulia nae mutafute pesa
Ikawaje mkuu?Kweli kabisa, Hata wanaume mara 1 hutukuta.
Nakumbuka hata kwa upande wangu enzi hizo naanza kijikazi changu cha kwanza kampuni moja kongwe ya kilongalonga Tanzania ,yalinikuta kabisa .....Mumama wa watu alikuwa ananisifia kijana wa watu kipindi hiko napigilia suruali safiiiii,inapanga imenyooka safi ambayo kijana wa sasa ukishona unatoa suruali 3 na italian moccasins ya urithi inawaka..akachanganyikiwa atake kijana nimlambelambe niwe . . . . . .
Wanasema ng'ombe hazeeki maini mkuu.Kama bado yanki unakemeaje sasa..
Wewe kama yanki ni haki yako mkuu.
Ila hawa wazee tupige marufuku.
Kwani hawatosheki miaka yote hiyo wamechakaza weee ila wapi hawachoki au wanakula madawa...?
Haya mambo ni kuwa nayo makini sana.Hawawahuni tu mkuuu asikwambie mtu m niliwahi kuwa dalali wa hr siku nagundua anaumwa hiv nilichoka alipokufa walipuputika mmojammmoja ofisin achatu nkatubu na kufunga..
Yaan 1 akafa na 357922
3 akafaa na 468111 achakabisaa
Sasa hivi umekuwa unaelewa kivipi na kwanini ilikuwa hivyo?babangubalimpata mama akiwa kwenye ndege mama abiria kilichofwata niliambiwa tu baba na mama walifanya kampuni ambayo na mm nimefanya nkaondoka mengineyo. Yanafurahisha
Wapo wanaojirahisisha Ila kuna wengi tu wanashinikizwa. Na kheri field kuliko vyuoni maana lecturers huwa hawataki neno HAPANA, na akilipata, atamsumbua huyo mwanafunzi hadi amkubalie au amfelishenawewe unaamini wanashinikizwa?
we bado mgeni mjini apa
Kwani unae mahi wako humu?na bado unaendelea kusisitiza sio,, ujue unaniharbia siivii(CV) humu😂😂
Binti tatizo huwenda ulikutana na wazee wa hovyo.shindwa nawewe😂🤣,,nilishaangalia uyo kijana aseeee aseeee aseeee,, vijana wa saiv ni balaa,,nmepigwa na kitu kizito hakika sitowahi sahau🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kuna mambo tutasumbuka nayo sana ila kuyabadilisha ni ngumu sana hasa kwa kizazi hiki korofi.💯 mkuuu hiooo kama sunguraaa aka smart gin haipingiki
hapana sina,, ningekua nae ninge behave kidogo 🤣🤣we unaona hizi ni akili za kua na mahi humu?Kwani unae mahi wako humu?
sio kwel,,ni kijana tu ila kazi hawataki wanataka kulelewa mkuu😫😫Binti tatizo huwenda ulikutana na wazee wa hovyo.
Kwa vijana hakuna mtu wa hovyo ni vile unashindwa kujua ni wakati gani sahihi wa kuwa na mtu.