Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Yani saivi ni shagalabagala,,si vijana si wazee wote ni hovyo🤣.

adi nimeamua kua mwenyewe tu sasa nitafute pesa.

Siku nitaleta ushuhuda hakika wote humu mtalia 😂
Humu jf hakuna vijana wa hovyo wa kufanya wewe kuwa mwenyewe.
Ila wazee ndio hovyo ambao kama ungeingia huko ingekua mbaya zaidi.

Muda bado upo angalia kijana mmoja ambaye unaona anaelekea tulia nae mutafute pesa
 
Hapana ila unapotaka kuongelea hao watu kuna sehemu ya kuweka malalamiko hivo unapoleta maneno kama hayo unajitafutia BAN kijana
Hawawahuni tu mkuuu asikwambie mtu m niliwahi kuwa dalali wa hr siku nagundua anaumwa hiv nilichoka alipokufa walipuputika mmojammmoja ofisin achatu nkatubu na kufunga..

Yaan 1 akafa na 357922
3 akafaa na 468111 achakabisaa
 
Humu jf hakuna vijana wa hovyo wa kufanya wewe kuwa mwenyewe.
Ila wazee ndio hovyo ambao kama ungeingia huko ingekua mbaya zaidi.

Muda bado upo angalia kijana mmoja ambaye unaona anaelekea tulia nae mutafute pesa
shindwa nawewe😂🤣,,nilishaangalia uyo kijana aseeee aseeee aseeee,, vijana wa saiv ni balaa,,nmepigwa na kitu kizito hakika sitowahi sahau🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Kweli kabisa, Hata wanaume mara 1 hutukuta.
Nakumbuka hata kwa upande wangu enzi hizo naanza kijikazi changu cha kwanza kampuni moja kongwe ya kilongalonga Tanzania ,yalinikuta kabisa .....Mumama wa watu alikuwa ananisifia kijana wa watu kipindi hiko napigilia suruali safiiiii,inapanga imenyooka safi ambayo kijana wa sasa ukishona unatoa suruali 3 na italian moccasins ya urithi inawaka..akachanganyikiwa atake kijana nimlambelambe niwe . . . . . .
Ikawaje mkuu?

Maza alizimika na bwanga la suruali 😂
 
Hawawahuni tu mkuuu asikwambie mtu m niliwahi kuwa dalali wa hr siku nagundua anaumwa hiv nilichoka alipokufa walipuputika mmojammmoja ofisin achatu nkatubu na kufunga..

Yaan 1 akafa na 357922
3 akafaa na 468111 achakabisaa
Haya mambo ni kuwa nayo makini sana.
Watu wanatembea na mavitu yao
Sasa huyu binti mpaka utoe rushwa ya ngono ndo upate kazi.

Haya unapata kazi baada ya miezi kazaa unagundua umebeba mavitu ya ajabu inakuaje hapo..?
 
shindwa nawewe😂🤣,,nilishaangalia uyo kijana aseeee aseeee aseeee,, vijana wa saiv ni balaa,,nmepigwa na kitu kizito hakika sitowahi sahau🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Binti tatizo huwenda ulikutana na wazee wa hovyo.
Kwa vijana hakuna mtu wa hovyo ni vile unashindwa kujua ni wakati gani sahihi wa kuwa na mtu.
 
Back
Top Bottom