Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Wapo wanaojirahisisha Ila kuna wengi tu wanashinikizwa. Na kheri field kuliko vyuoni maana lecturers huwa hawataki neno HAPANA, na akilipata, atamsumbua huyo mwanafunzi hadi amkubalie au amfelishe
Ila hiyo ya malecture wanakuza sana tofauti na uharisia ulivo.

Mwanafunzi ndo atamtafuta lecture kwa ajili ya course work.
Hapo utasema lecture ndo mwenye shida au mwanafunzi..?
 
Iwekwe sheria tu wanafunzi wa field wawe na uwezo wa ku report usumbufu huo kwa mamlaka husika. Wahusika wachukuliwe hatua asap
 
Wapo wanaojirahisisha Ila kuna wengi tu wanashinikizwa. Na kheri field kuliko vyuoni maana lecturers huwa hawataki neno HAPANA, na akilipata, atamsumbua huyo mwanafunzi hadi amkubalie au amfelishe
mwanamke yeyote mwenye 18+ hawezi kukufunulia uchi wake bila ridhaa yake hata umshikie bunduki labda umbake. bear that in your mind.

sasa nikuulize ni nani amewahi kuripoti kesi ya ubakaji uko maofisini
 
Walikufanyaje mkuu wazee wa humu?

Raisi wa wazee humu jf mzee wetu Grahams kuna malalamiko na kero kuhusu serikali yenu ya wazee. Nawasilisha.
Kwa niaba ya Wazee wote humu, napenda kukana tuhuma hizi.

Hakuna Mzee anatembea na Mabinti humu, wote huishia kucheka nao tu na kutaniana nao just for the funny

Hata huko maofisini, hali ni hiyo hiyo

Binafsi nimefanya kazi Serikalini hadi nilipostaafu Kwa lazima Mwaka 2005, lakini hakuna Binti nimewahi kutembea naye hata Kwa bahati mbaya Kwa miaka yote hiyo🤗

Naendelea kusisitiza, kuweni na imani na Wazee 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…