Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tena mnoInasikitisha sana aiseeeh!
Mkuu ujifwatilia sana angalia umri wa baba na maamaa utajua kabisa baba alikuwa bossi wa mama akiwa kazini siriyakooRushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.
Natamani ingekuwa hivyo lakini ni ngumu.Wazee wakaze hakuna kula mbususu za 2000.
Akikufuta kamata chapa proper peleka kwa wazazi wake huko.
Au mpe ushauri wa kutosha aache ujinga huyo binti pmbvvvv
Kemea kabisa kaa mbali na jiepushe.Shindwa pepo Ms R
hapana kwakwel sipo kabisa na sijawahi fikiria kuwepo,,ila si unajua maisha ya jf bwanaHuyo binti hamaanishi hapo..
Ila kama nae yupo kwa kundi la wale wa kutaka wazeee nakemea hilo pepo nyemelezi
Kwa wazazi wangu kipindi hicho mzee alikutana na mama akiwa ameenda kazini kwa mama kufanya kazi kama kibarua wa saidia fundi.Mkuu ujifwatilia sana angalia umri wa baba na maamaa utajua kabisa baba alikuwa bossi wa mama akiwa kazini siriyakoo
Mabinti wanapenda kutokana na umri wao wapo age ambayo wanaongozwa sana na peer mkuuNatamani ingekuwa hivyo lakini ni ngumu.
Na mabinti nao wasipende mteremko/urahisi.
Jf kujua umri wa mtu ni kipengele, acha tu nikemee.Kemea kabisa kaa mbali na jiepushe.
Ila tu kama ni mpo rika moja we jilie vyako mkuu...
Sio unakemea wakati mpo same range utakua unashida wewe
Ndo mana nikasema wewe umaanishi nilitaka nishangae mbona gafla hvo na bado upo 24.hapana kwakwel sipo kabisa na sijawahi fikiria kuwepo,,ila si unajua maisha ya jf bwana
Kama wewe ni mzee kemea sana hawa watoto.Jf kujua umri wa mtu ni kipengele, acha tu nikemee.
Nasemaje, shindwa na ulegee utanitaka hata nikizeeka.😂😂😂😂😂😂😂😂we mzee kwan nshawah kukutaka wewe
Mi bado yanki mkuuKama wewe ni mzee kemea sana hawa watoto.
Aandike wosia mbona unapindaaavyznepahdkwoshdkwKama wewe ni mzee kemea sana hawa watoto.
Hakika mkuu ila nature itabaki na itaendelea kuwa nature.100 💯 jiulize kwann baba zetu n wazee kulko mama zetu...utaeleewa haikuanzia leoo mkuuu ndioomaana wanangu nawashirikisha kwenye biashara waone nachofanya siku ikitokea wanajisaidia wenyeee yaan naniiwawape wakipenda sio kwa ajira
hapana kabisa,ata kufikiria sijawahi,,coz sura nyingi za wazee zinatisha kwakweli ni kujitoa muhanga ukoNdo mana nikasema wewe umaanishi nilitaka nishangae mbona gafla hvo na bado upo 24.
😂 wafuga ndevu tumefikaje humu, kwanini wafuga ndevu.Utachagua kazi au kumtunzia kipapa yule mfuga ndevu wako asiye na mbele wala nyuma 😂