Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.

Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.

Mkuu ujifwatilia sana angalia umri wa baba na maamaa utajua kabisa baba alikuwa bossi wa mama akiwa kazini siriyakoo
 
100 💯 jiulize kwann baba zetu n wazee kulko mama zetu...utaeleewa haikuanzia leoo mkuuu ndioomaana wanangu nawashirikisha kwenye biashara waone nachofanya siku ikitokea wanajisaidia wenyeee yaan naniiwawape wakipenda sio kwa ajira
Hakika mkuu ila nature itabaki na itaendelea kuwa nature.
 
Back
Top Bottom