Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.

Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.

Hali ni mbaya hapo ni field tu bado ajira
 
Mwanamke hahitaji hisia kufanya ngono, tofauti na wanaume.
Unalalaje na mtu ambaye anaonesha wazi hakuhitaji wala hakupendi (na siyo kahaba)?
Kwangu binafsi napenda nilale na mtu nnaemkubali kwa kiasi fulani. Sio kwamba nashindwa kulala na ke yeyote yule ila najua kuzicontrol tamaa zangu. Kuna ke ata afanye nini siwezi lala nae.
 
mwanamke yeyote mwenye 18+ hawezi kukufunulia uchi wake bila ridhaa yake hata umshikie bunduki labda umbake. bear that in your mind.

sasa nikuulize ni nani amewahi kuripoti kesi ya ubakaji uko maofisini
Hizo kesi vyuoni hazifiki mbali Ila ikitokea kama mwanafunzi kwao kuna uwezo. Ndio hao huwa wanahusisha hadi PCCB lakini baada ya hapo, victim ndio huchukuliwa kama anachafua chuo au kaharibu maisha ya mwalimu wao. Kinachofuata hapo, ni kheri binti ahame chuo maana possibility kubwa ni kuwa atawindwa na lecturers almost wote

Hizi sio hear says, nimezishuhudia mkuu. Na kama bado unaamini binti akifika 18+ hawezi kushawishiwa. Subiri liingie kwenye familia yako. Utaelewa practically mkuu
 
Mkuu umekamia hii point ya malecture kweli kweli.
 
Back
Top Bottom