Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #381
😂 huu ushauri sioKateni pembejeo zao tuu hakuna namna...ingia na kisu kata...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 huu ushauri sioKateni pembejeo zao tuu hakuna namna...ingia na kisu kata...
Acha roho mbaya Mjukuu 😜Kateni pembejeo zao tuu hakuna namna...ingia na kisu kata...
ngoja nipate kibaliAnza sasa.
Sawangoja nipate kibali
🤣 🤣 🤣 🤣 unashangaa kumbe ni dingilai..😂 huu ushauri sio
🤣🤣🤣🤣 wazee wa mwendokasi ndo dawa yaoAcha roho mbaya Mjukuu 😜
Sasa wakizikata si kesi za mauaji.🤣 🤣 🤣 🤣 unashangaa kumbe ni dingilai..
Kumbukeni bado Nchi inatuhitaji Wazee ili kuishauri, sasa wakikata kifanyio chetu si tutabaki toothless 😜🤣🤣🤣🤣 wazee wa mwendokasi ndo dawa yao
Sio lazima afe...anabaki na ukumbusho...Sasa wakizikata si kesi za mauaji.
😂 we unao ujasiri huo?Sio lazima afe...anabaki na ukumbusho...
Huu upuuzi wako tangu jana mpaka leo ukaanzisha uzi. Acha uchoyo wa vitu ambavyo si vyako.Alafu tuanze na wababu wa humu humu jf.
Kuna wazee hovyo sana humu hawaoni aibu kabisa.
Unakuta mtu anafamilia na watoto wakubwa tu.
Ila kutwa kuhangaika na vitoto vya 2000.
Mi akija ingia mti kwenye 18 haijalishi ni ugomvi wangu au laa ila atajua ajui
Hovyo kabisa.
Ukiwakuta ofisi unaweza kusema watu wa maana kumbe hovyo kabisa
Watu tupo tofauti sanaaaIla Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Psychologically mwanaume kwenye mambo ya kunyanduana haongozwi na hisia bali muonekano na msisimko, ndiyo maana unakuta mtu anabaka mpaka mtoto mdogo au hata vichaa wanapigwa mimba...Mwanamke ndiye ambaye huongozwa na hisia kwenye haya mambo....Ila Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Mtu anayebaka watoto na vichaa mtoe kwenye kundi la mwanaume aliyekamilikaPsychologically mwanaume kwenye mambo ya kunyanduana haongozwi na hisia bali muonekano na msisimko, ndiyo maana unakuta mtu anabaka mpaka mtoto mdogo au hata vichaa wanapigwa mimba...Mwanamke ndiye ambaye huongozwa na hisia kwenye haya mambo....
Unampimaje binadamu aliyekamilika? Vigezo gani??Mtu anayebaka watoto na vichaa mtoe kwenye kundi la mwanaume aliyekamilika
Utimamu wa akili ndio kigezo Cha kwanza Sasa kama mtu ni shoga au anabaka mtoto wa miezi miwili wewe utaona ni wakawaida?Unampimaje binadamu aliyekamilika? Vigezo gani??