Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Alafu tuanze na wababu wa humu humu jf.
Kuna wazee hovyo sana humu hawaoni aibu kabisa.
Unakuta mtu anafamilia na watoto wakubwa tu.

Ila kutwa kuhangaika na vitoto vya 2000.
Mi akija ingia mti kwenye 18 haijalishi ni ugomvi wangu au laa ila atajua ajui
Hovyo kabisa.

Ukiwakuta ofisi unaweza kusema watu wa maana kumbe hovyo kabisa
Huu upuuzi wako tangu jana mpaka leo ukaanzisha uzi. Acha uchoyo wa vitu ambavyo si vyako.

Naona kuna mzee anamkula mchumba wako. Achana naye utafutemwingine asiyelika na wazee. Hapa JF wazee watawakula na huna cha kuwafanya
 
Ila Kuna watu wanazingua sana hivi unalalaje na demu ambaye Hana hisia na wewe kwa kumshindikiza
Psychologically mwanaume kwenye mambo ya kunyanduana haongozwi na hisia bali muonekano na msisimko, ndiyo maana unakuta mtu anabaka mpaka mtoto mdogo au hata vichaa wanapigwa mimba...Mwanamke ndiye ambaye huongozwa na hisia kwenye haya mambo....
 
Mtu anayebaka watoto na vichaa mtoe kwenye kundi la mwanaume aliyekamilika
 
Wazee wa hovyo wanataka kula vitoto vya elfu mbili. TAKUKURU waanze kutoa semina shuleni na vyuoni sasa.
 
Miaka ya zamani, vyuo vilikuwa vinaingia makubaliano na baadhi ya taasisi ili vijana wao waende maeneo hayo kujifunza kwa vitendo.

Inawezekana kutokana na utandawazi, idadi ya wanafunzi kuongezeka mara dufu kuliko sekta husika, ikawa ndio chanzo cha matatizo.

Muhimu cha kujifunza, ulimwengu tuliopo ni wa kibepari na si wa kijamaa; ikimaanisha wataishi wale watakaoweza kuendana na ubepari.
 
Hiyo ni sehemu ya field dada, sianasomea usekretari!
 
Back
Top Bottom