HahahaPole yake!
Kuna jamaa mmja namjua yalimkuta naye,alafu huyo jamaa team lumumba kindakindaki
Jamaa walimuenyesha sana....kimoyomoyo nkasema Sawa sawa acha yamkute
Ova
Umeambiwa ni kipindi cha mwendakuzimuHuyo binti hana adabu tu anapigaje picha msafara ikulu?
Halafu hii story yako ina chumvi nyingi sana.
Tumeshakaa sana kule ufukweni na kujisnap uelekeo wa ikulu huwa ukikamatwa ni wanachukua simu yako asipofanya factory reset utafutiwa picha zote kwa simu hayo ya kuruka kichura chura labda ukatae na kujifanya mbabe
Namimi naongelea hiko hiko kipindiUmeambiwa ni kipindi cha mwendakuzimu
Kwanini hamkuita polisi?Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Mpaka wanyooke