cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kuua mdogo ake ndo alichopaswaa kufanyaa?Kaka asikae anajilaumu. Amefanya alichotakiwa kufanya as a brother.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuua mdogo ake ndo alichopaswaa kufanyaa?Kaka asikae anajilaumu. Amefanya alichotakiwa kufanya as a brother.
Kaka asibughudhiwe kwa kujiua mdogo wake kwa mkasa kama huo.Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye umri wa miaka 15 alichukua uamuzi baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake waliyokuwa wakiigombania, baada ya kitendo hicho alikasirika na kwenda chumbani kwake akachukua kamba ya katani na kufunga kwenye kenchi kisha kujinyonga.”
Chanzo: AZAM TV
Kuna shida kwenye malezi si bure. Kwa wale wa 80s,90s mbona hawakuwa wanafanya vitu vya kijinga kama hivi? Wazazi wamelega mahaliWatoto wa zama hizi sijui wana shida gani.
nawe unaamini kuna ibilisi...🤣Kizazi cha 2000s kina balaa. Kumbe kujiua ni rahisi hivyo? Amechoka kula ugali kabisa!!
Au wanakuwa attacked na ibilisi?
Na wa mbeya mtoto sijui darasa la 3 aliyejinyonga kisa hatak kwenda shule hata balehe hajafika je?Unapomlea mtoto unabidi kujua akifika katika Adolescent stage anakuwa anafanya mambo mengi bila kuwa logically
Hivyo lazima uwe makini katika kumlea kwa utulivu.
Hivyo hiyo hatua inahitaji ufahamu mzuri kuhusu mtoto
Kamuua au kampora simu??Kuua mdogo ake ndo alichopaswaa kufanyaa?
Majibu ya maswali yako anayo marehemu.Kamuua au kampora simu??
Simu alitoa wapi??ya kazi gani form 1??anawasiliana na nani form 1??
Tukikupora bendera ya upinde unajiua wewe😂😂Sijui hata kipii kitakachofanya nitoe uhai wangu, yaan kuporwa cm ndo ujiue? Sisi wengine tumepitia masaibu na changamoto had watu wanauliza wee ni binadamu wa kawaida au?
Maana tumevuka silka ya u binadamu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rip mdogo wetu, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna mahali ameshika kamba akamning'iniza? Narudia tena kusoma habari labda kuna mahali alimtamkia bora ufe.Kuua mdogo ake ndo alichopaswaa kufanyaa?
Basi 99% wangeshajinyonga ..naamini shida ni malezi mabaya at the end imefikia stage mbaya so tunatakiwa kukemea tabia hz za mtoto kumiliki simu mapemaUnapomlea mtoto unabidi kujua akifika katika Adolescent stage anakuwa anafanya mambo mengi bila kuwa logically
Hivyo lazima uwe makini katika kumlea kwa utulivu.
Hivyo hiyo hatua inahitaji ufahamu mzuri kuhusu mtoto
Weeee,tumeporwa remote na mabro enzi tuko form one,muda wa mieleka,na mechi tv zinazimwa na hatujawahi kujitilisha uruma hata.Majibu ya maswali yako anayo marehemu.
Yeye alimpora cm, huenda njia iliyotumika sio sahihi.
Kamuua au kampora simu??
Simu alitoa wapi??ya kazi gani form 1??anawasiliana na nani form 1??
Polen sana kwa Familia.Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake