Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

Weeee,tumeporwa remote na mabro enzi tuko form one,muda wa mieleka,na mechi tv zinazimwa na hatujawahi kujitilisha uruma hata.

Saa hii ndio tunajua kwa jinsi gani walikuwa real.
Hivi vitoto vilivyozijua mboo mapema,tena za watoto wenzao ni tatizo.

Wazazi wengi wana uwezo wa kumtuliza mtoto na sio kumrekebisha inasikitisha Sana .

Wamekariri njia moja ambayo hutoa matokeo kwa ubora wa chini (viboko,kpiga na kufoka).
 
Malezi yanahitaji kuisoma saikolojia ya mtoto zaidi na wala sio katika balehe tu waweza usielewe hili jambo ikiwa hauna ufahamu wa kutosha katika parenting stage.

Mfano kakuambia hataki shule ,wewe mzazi unakimbilia viboko hapo lazima mwisho wake utazua tatizo jipya na kubwa.
Imagine mtoto wa 15 anakwambia hataki shule,na unaona kabisa gari ndio inawaka,muda wote yuko na simu.
Hiki kipindi wengi wetu tungesikilizwa tulichokuwa tunakitaka sijui tungekuwa wapi saa hizi.

Hapo ukute hata simu haijulikani ilikotoka.hasikilizi mtu na wala shule haina maana tena kwake.
 
Dogo aliona kabisa hatowasiliana na boyfriend wake, emotions zika mtawala mpk umauti ulipo mkuta. Mkiona wazungu wanaruhusu hizo mambo sio wajinga.
 
Tukikupora bendera ya upinde unajiua wewe[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km ilishindikana pale ilipotangazwaa namiliki bendera hiyo, ndo nijiue mkiichukuaa?

Aaaaah thubutuuu, labda mniue nyie wenyewee tit 4 tat.
 
Weeee,tumeporwa remote na mabro enzi tuko form one,muda wa mieleka,na mechi tv zinazimwa na hatujawahi kujitilisha uruma hata.

Saa hii ndio tunajua kwa jinsi gani walikuwa real.
Hivi vitoto vilivyozijua mboo mapema,tena za watoto wenzao ni tatizo.
Sasa mnajua wameshazijua mboo mapema, mnawasakama wa nn?
C muwaache watajijua wenyewee baadae, sasa hapo kapata nn?

Naamini hata ndugu wanamgeuka huyo Kaka, na kumuona katili woiiih.
Huyo Kaka atajutia maisha yake yotee.
 
Shida zote hizi za nini? Wanafunzi wote kuanzia msingi waruhusiwe kumiliki simu na waende nazo madarasani. Hata kama hakuna ruhusa tayari watoto wanajua vizuri kuzitumia simu kuliko wazazi wao. Bora waruhusiwe tu
 
Kwa tafsiri nyingine ni alikuwa tayari kuua mtu yeyote ambae angechukua hiyo sim endapo TU angemmudu.
Alikuwa hatari sana😥
 
cocastic na wewe ungefumwa nashera enzi hizo, ungejitia kitanzi. Imagine kwa sasa hata sponsor humkumbuki jina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya kufumwa nashera ni ndogo, kuna makubwaa nimepambana nayooo, jamaniii sina cha kufanya nijiue hapa duniani.

Hakunaaaaaa na hakipoooo.
 
Imagine mtoto wa 15 anakwambia hataki shule,na unaona kabisa gari ndio inawaka,muda wote yuko na simu.
Hiki kipindi wengi wetu tungesikilizwa tulichokuwa tunakitaka sijui tungekuwa wapi saa hizi.

Hapo ukute hata simu haijulikani ilikotoka.hasikilizi mtu na wala shule haina maana tena kwake.

Narudia tena
Kupiga
Viboko
Kufoka

Hizi njia hazina uwezo wa kumbadilisha mtoto kuwa na maadili .

Wazazi wengi wamefaulu kuwatuliza watoto na sio kuwabadilisha

Kumbadilisha mtoto ni mchakato wa kumfanya kuwa na maono (vision) kuujua ukweli na kuyajua mabaya na mazuri.

Ni kwamba tatizo la maadili , watoto kupenda mambo yaliyowazidi umri huwa ni ukosefu wa Mzazi kutokuwa na maarifa sahihi kichwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya kufumwa nashera ni ndogo, kuna makubwaa nimepambana nayooo, jamaniii sina cha kufanya nijiue hapa duniani.

Hakunaaaaaa na hakipoooo.
Safi sana! Ndiyo maana kila siku Nakuweka katika maombi. Usisahau kunitumia hela ya vocha
 
Mtoto kuwa na simu sio tatizo, nikujua tu anaitumia vipi, Mimi mwanangu ana 15 nimempatia simu tangu alipohitimu drs la 7.natunaenda sawa
 
Safi sana! Ndiyo maana kila siku Nakuweka katika maombi. Usisahau kunitumia hela ya vocha
Tena umeniwahiii, em fanyaa bas nitumie vocha kubwa nijimwaye mwayee weekend hiii.

Fanya hivyo bas, nakutegemea ujue.!!
 
Umewahiwa nawe jiongeze kwanza ndipo ulete yako
Una amua kunikejeli? Haya bhana sawaa!!
Mie nikitusua life, utafurahi mbona, em fanyaa bas nifurahie weekend!!

Seriously
 
Sasa mnajua wameshazijua mboo mapema, mnawasakama wa nn?
C muwaache watajijua wenyewee baadae, sasa hapo kapata nn?

Naamini hata ndugu wanamgeuka huyo Kaka, na kumuona katili woiiih.
Huyo Kaka atajutia maisha yake yotee.
Aaah hapana labda huwajui wakurya.
 
Back
Top Bottom